Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Napenda kutoa pongezi kwa dada yetu, rafiki yetu Captain Hilda kwa kujifungua mtoto mzuri kabisa wa kiume leo huko USA. Mama na mtoto wote wako salama na tunawaombea afya tele na furaha. Naomba...
0 Reactions
48 Replies
19K Views
Katika pitapita yangu leo nilipitia moja ya mtandao wa mziki maarufu nchini nigeria notjustok.com ukiachana na tooexclusive ambapo hii leo walikuwa wameweka video mpya ya chibu dangote, mond bin...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Matusi ni ujinga mpevu ila kama unafuatilia coke studio utakubali namna huyu dada anavyokuwa tegemeo katika kuifanya team yake na kiba ishine. to be continue.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mashabiki wengi wakiwa wanasubiri Kichupa kipya cha Platnumz kabla hajaachia kaja na hili kwanza la tuzo sasa najiuliza hivi huyo Diamond anapata wapi hela ya kununulia hizi tuzo Eti?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huo ni msemo wanaoutumia sana hawa Ze comedy(wa EATV),hivi wana maana gani?
0 Reactions
30 Replies
37K Views
Hakika Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla tunajisifu sana na uwepo wako hata wale wasiofuatilia muziki kwa juhudi, uthubutu, kujituma, na heshima yako inatoa fundisho kubwa sana. Huyu mtu...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Get ready, on Friday dis week mkali wenu wa Afro pop anadondosha new hit song. Chanzo: Diamond Platnumz Twiter A/C ...Updates... Wimbo tayari umetoka. Mambo 10 kutoka kwenye wimbo UTANIPENDA...
0 Reactions
276 Replies
73K Views
Mwenye nyimbo ya Alicom ya moyo naomba anisaidie. Nimeitafuta kwenye youtube na kugoogle bila mafanikio.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
ALIKIBA Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer, producer, actor and model. He is one of Africa's biggest stars and his name is steadily...
1 Reactions
22 Replies
31K Views
Katika talk show host ni nani anavuta hela ndefu kupita wote au wanalipwa vipi kwa mwezi? 1: Salama Jabir 2:Sporah 3:Mboni Masimba Hao ndio naowajua mimi, ukiangalia wenzetu huku Marekani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo wema kakutwa kajiungia umeme kwa nia ya kukwepa kulipa malipo halali,natumia fursa hii kumuomba zari amsaidie wema kulipia bili amgalau miezi mitatu ili wema asherwkee sikukuu kwenye mwanga...
5 Reactions
44 Replies
9K Views
Shilole anatarajia kusafiri kwenye nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake Nyan'ganyan'ga na Justin Campos. Shishi ameiambia Bongo5 kuwa wiki ijayo atasafiri kwaajili ya kwenda kufanya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ali kiba katoa nyimbo imebuma. Christian Bella katoa nyimbo na Koffi imebuma. Belle 9 katoa video kali na track mpya hakuna anaejali. Wema Sepetu na JB wanakuja na movie mpya sio...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu katika pitapita zangu kwenye instagram nimekumbana na hii picha ya mzee bruce jenner kwa jinsi alivuoharibika hii miguu ayse anajutia sasa
0 Reactions
54 Replies
9K Views
baada ya muda mrefu wa kusikilizishwa ngoma za uongo uongo za hip hop,makelele ya vichwa vya habari,vina vya kulazimisha,punch lines za kuunga unga,mistari ya kama kama mia tisa katika verse...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Sio punda wale wanaobeba mizigo ya kawaida???LA hasha,wanabeba mizigo kwa matumbo yao..tena wanapanda mpaka ndege hao punda,wapo na naamini watu wanawajua...mmoja huyu Mimi ni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Muda huu yuko live clouds amesema yeye anawasaidizi wake hivyo wao wata muwakilisha bali yeye atafanya kile kilicho kwenye hadhi yake tuu. My take majibu haya pia yawafikie wale watu wa ccm...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wajua tena sisi mwezi huu tunakwenda nyumbani kwa ajili ya kukutana na familia zetu. Juzi Nilipokuwa Dar nilikuwa nasikia matangazo Radio 5 FM...91.3 Dar kuwa Diamond atakiwasha Geneva of Africa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Akiongea na AyoTv, mwanamuziki Ali Kiba amesema, 'Nimegundua mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo. Japo ni sifa lakini kiukweli music wangu una thamani kuliko tuzo. Ndio maana ninapoona ulazima naenda...
0 Reactions
79 Replies
16K Views
@ GUYS SISTER NI MBONGO MWENZETU ANASHIDANIA KUWA BALOZI WA JET MAGAZINE ANAHITAJI KURA 5,000 BY KESHO PLEASE GO HERE:- .......https://miss.jetsetmag.com/vote-for/aicha-mosha .....SELECT STEP 1...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom