Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,271
- 5,366
Huu ni upuuzi uliopitiliza wakati watu wakitafuta mahala pa kwenda kula bata usiku wa christmas maeneo ya Korogwe kumetokea tukio la kuudhi na kukera kwenye ukumbi ujulikanao kama Mamba club wakishirikiana na watangazaji wa Tanga kunani, tk fm kwa kuwatangazia wakazi wa Korogwe kuwa kutakuwa na show kali kutoka kwa dogo Aslay hali iliyopelelekea watu kujaa ndani ya ukumbi lakini cha kushangaza msanii huyo hakutokea na matokeo yake watu wakaishia kulalamika wasijue wa kumshika,ishu hii pia wamwshirikiana na kituo kimoja cha redio kinachojulikana kama voice of africa nisahihishe kma jina hilo nimekosea,kituo hicho ambacho ni cha pekee kwa mji huu kilitumika kutangaza ishu hiyo hivyo watu kuamini jambo hilo.
Naomba Nape na wahusika wote haswa dogo Aslay kufuatilia jambo hili ambalo si zuri kwa msanii yeyote wenzetu hii ni kesi,mabango yapo hadi leo.
Naomba Nape na wahusika wote haswa dogo Aslay kufuatilia jambo hili ambalo si zuri kwa msanii yeyote wenzetu hii ni kesi,mabango yapo hadi leo.
Last edited by a moderator: