Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,181
Habari wadau,

Sijapendezwa na Tambo za Huyu masanja makandamizaji,japo Mungu amamempa nyumba kadhaa,magari kadhaa na mashamba ya mpunga,asijione ndio maisha kayapatia,Kuna watu walikuwa na pesa kuliko yeye kwa sasa ni choka mbaya..."Mimi nimezaliwa kijijini porini lakini nawakalisha kifedha hadi waliozaliwa mbele kwa Obama nini ocean road?"
 
Wewe ndo hujamuelewa masanja, yeye alikuwa anawazungumzia wale mabishoo wa mjini kazi kujisifu wamezaliwa town wakati kazi hawanyi wanataka maisha mazuri ndo akasema jopo yeye kazaliwa bush lakin anawakalisha watoto wa mjini
 
Masanja kasema haijalishi umezaliwa wapi kijana jitume fanya kazi utatoboa maana kuna watu wanatabia ya kujisifu watoto wa mjini wapaka poda kazi hawafanyi muda mwingi kujisifu tu, akasema usiogope kuwekeza kwenye kilimo kinalipa fresh wewe kijana acha kuogopa tope
 
Huyu jamaa nilitokea kumkubali sana enzi za Ze Comedy kupitia EATV 2007/8.
Lakini kwa siku za hivi karibuni kanitoka kabisa kwa hayo majigambo yake.
 
Habari wadau,

Sijapendezwa na Tambo za Huyu masanja makandamizaji,japo Mungu amamempa nyumba kadhaa,magari kadhaa na mashamba ya mpunga,asijione ndio maisha kayapatia,Kuna watu walikuwa na pesa kuliko yeye kwa sasa ni choka mbaya..."Mimi nimezaliwa kijijini porini lakini nawakalisha kifedha hadi waliozaliwa mbele kwa Obama nini ocean road?"

....baabako!..umekiri Mungu ndie aliempa!kinabo hujapendezwa kwani wewe ndie nani??
 
Bado akiongea rafudhi yake kama ndio kafika leo mjini..wakijijini wa kijijini tu..utauficha ushamba kwa mavazi na magari lkn ukiongea wajanja tutakujua tu UMEKUJA!.
 
Hiv nin maana halisi ya ujanja????? Ni lafudhi ndo kuwa mjanja au pesa???? Am so wandazzzz!! masanja rudi tena ufafanuee naona mada zmeinguliana hku....
 
pesa ndo ujanja mkuu, utafika kila sehemu kwenye hii dunia, ila usipokuwa nazo uta.......
 
Zingatieni context anayoongelea Mtu ndo mje kupiga umbeya huku JF.

Acha ujinga, mungu hawezi kukupa majumba, magari na mashamba. Fanya kazi jitume tafuta mbinu tofauti za kuingiza hela. Hayo mambo ya kusema mungu kampa ni ufala na akili za kimasikini

....baabako!..umekiri Mungu ndie aliempa!kinabo hujapendezwa kwani wewe ndie nani??

Nyie Makenge msione nilivyosema hayo maneno mkanichukulia Poa,hivo vigari na vipagale ninavyo vya kutosha,Huyo boya kanizidi umaarufu tu,nimeleta hapa kwa kitendo chake cha kudharau ambao hawana Kitu kisa yeye kumiliki matoyo na mapagale.
 
Tutajuaje mkuu??? Weka picha
 
Nyie Makenge msione nilivyosema hayo maneno mkanichukulia Poa,hivo vigari na vipagale ninavyo vya kutosha,Huyo boya kanizidi umaarufu tu,nimeleta hapa kwa kitendo chake cha kudharau ambao hawana Kitu kisa yeye kumiliki matoyo na mapagale.

Wewe lazima utakuwa mpaka poda wa kinondoni kazi kushinda saloon, kazi kukosoa watu wanasema ukweli kama masanja
 
Back
Top Bottom