Poor you, utanipenda ni kitu gani? Nani anahusika?
Acha kuishi kwa comparison kama mtoto wa kike. Maisha hayako hvo.Ulitaka ziwe views bilioni???
Davido ft. olamide imetoka zaidi ya mwezi haijafika milioni
Wizkid imetoka siku moja kabla ya utanipenda ila haijafika hta laki 6
Unataka tumshindanishe na Chris Brown?
Diamond hivi hawezi nyanyua hizo chuma zake na miguuni pia..maana duh mwili huna proportion kabisa.chini kama mtoto wa primary.juu safii
Kumbe Wabongo bado sana kwenye fani ya mziki, yaani "Utanipenda" wa Diamond nao ni wimbo wa kuujadili? In fact, nionavyo mimi ni kuwa Diamond ana sifa ya kupigiwa chepuo tu, hasa na Ikulu ya Kikwete, period!
Nyanyua ww na dushelele lako alafu utaona itakuwaje
Time to make great diamond platnumz again.
Yule jamaa mwingime nimeona Offical Video yake katoa tarehe 9 ina viewers laki 2
Hebu tuambie wewe nyimbo gani ya bongo imeshafikisha viewerz 1m ndani ya wiki ????? (ila kama hujapenda kinachoongelewa pita kimya hii ndio celeb forum)Poor you, utanipenda ni kitu gani? Nani anahusika?