Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 471
Baada ya kuwa na sintofahamu tangu wasikike kwenye kipindi cha Power Breakfast tarehe 1 mwezi huu, habari za ndani kabisa toka Mawingu Fm zinadai Mtangazaji mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kujenga hoja Masoud wa Kipanya ataanza rasmi kusikika kwenye Kipindi cha Power Breakfast kuanzia Jumatano Asubuhi na Mapema.
Kwa uwezo alionao Kipanya, je tutegemee yapi toka kwake?
================
Kwa uwezo alionao Kipanya, je tutegemee yapi toka kwake?
================
Mtangazaji wa redio wa siku nyingi., Masoud Kipanya hatimaye amerudi Clouds fm na kupangiwa kwenye kipindi cha Power breakfast, Masoud Kipanya ataanza rasmi kusikika redioni Jumatano ya wiki hii ya April 27, katika kipindi cha Power breakfast. Masoud Kipanya ameyathibitisha hayo, siku ya leo wakati akihojiwa katika kipindi cha LEO TENA cha Clouds fm.