juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kama tunavyojua ya kwamba Lady Jay dee komandoo hana mahusiano na redii clouds fm,sasa hali hiyo imefanya huyu dada hata nyimbo zake kutochezwa katika kituo hicho.
Kumbuka clouds washakuwa katika tafrani na wasanii kama Mapacha,Sugu,Rama dee n.k,lakini hao wote waliomba msamaha na walisamehewa na bado nyimbo zao hazichezwi pale wala hata interviews hawapewi wala nini! Sasa huyu dada nadhani anaona aibu kuomba radhi clouds fm kwa kuwa anajua hata akiomba msamaha bado hawatacheza nyimbo zake, kitendo cha Jide kugombana na clouds fm kimemfanya akose ushirikiano na wasanii wote wa tanzania na hico kujikuta hakuna msanii anaeomba kufanya collable na yeye.
Hii inatokana na kwamba wasanii wanaogopa endapo watamshirikisha hii maana yake nyimbo haitapigwa clouds fm na ndio redio kubwa Tanzania nzima,ukitaka wimbo wako uvume ni lazima udili na hawa majamaa,kazi ipo