Digoxin JR
Member
- Jul 1, 2014
- 83
- 14
Jamani hivi kumbe ukiingia bifu na Clouds unakuwa na bifu na wafanyakazi pia? Millard Ayo karibia kila video mpya ya wimbo huwa ana upload kwenye website yake na kwenye Ayo TV lakini hii video ya The Ndindindi hakuweka kwanini sasa???
Mi sielewi!
Mi sielewi!