Nikon Professional Camera za kisasa bei nafuu mno.

router

Member
Mar 23, 2016
88
72
Habari wanajamvi, mimi ni mdau mpya katika uwanja huu, huwa ninafuatilia yanayoendelea hapa kila ninapopata nafasi (mara nyingi hua ninasafiri ndani na nje ya nchi) nimejifunza mengi hapa.

Nina Proffesional Camera Mpya, Nikon D3300, D5100, D5200. Ninaziuza kwa bei nafuu sana kwa atakaehitaji tafadhali ani-pm au anitafute hapa 0758 020250.

Zipo chache sana. Karibuni sana.

IMG-20160427-WA0003.jpg


IMG-20160427-WA0004.jpg

IMG-20160427-WA0005.jpg

IMG-20160427-WA0006.jpg
IMG-20160427-WA0006.jpg
 
bei nafuu sana ndio nini, kwa nini usiweke bei kwa kila model tujipime kabla ya kupiga sim
 
Gamaha nimekuelewa D5200, 1,050,000. D5100-1,000,000/ D3300 - 900,000/ bei inaweza kupungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom