Ugomvi wa P-Square unamvyomnufaisha Diamond Platnumz

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Tangu utokee ugomvi wa kundi maarufu africa psquare kumesababisha huzuni miongoni wa mshabiki wao. Kila mmoja peter na paul wamekuwa wakifanya project binafsi. Hata baada ya kupatana hakuna project ya pamoja waliofanya.

Diamond amewakutanisha kwa mara ya kwanza kwenye project yake, tangu jana wote peter na paul wapo south africa wakishoot video na diamond.
Jana wote wameshare picha wakiwa pamoja wakishoot video hiyo na kuamsha furaha ya mashabiki wao barani africa , na kusubiri kwa hamu kazi hiyo.

Nyimbo hiyo ya diamond inatarajiwa kupata attention kubwa miongoni mwa mashabiki na hii kuendelea kumtangaza zaidi diamond.

1461567495322.jpg
 
Attachments

  • 1461567507235.jpg
    1461567507235.jpg
    29 KB · Views: 203
  • 1461567523429.jpg
    1461567523429.jpg
    28 KB · Views: 189
  • 1461567534573.jpg
    1461567534573.jpg
    30.8 KB · Views: 172
  • 1461567540429.jpg
    1461567540429.jpg
    25 KB · Views: 169
  • 1461567551279.jpg
    1461567551279.jpg
    33.2 KB · Views: 172
diamond platnum featuring p square wenye ugomvi..

mashabiki wa p square wana hamu kuona ugomvi unaisha.. so watafurahia ngoma hiyo mpya...

huku mwemye nyimbo diamond nae kupata advantage ya furaha ya mashabiki wa p square duniani... wimbo utamfikisha mbali mbali sana
 
Ugomvi wao ulisha kwisha siku nyingi sana pengine huna taarifa na sasa wana shoot video yao na Diamond!
Tangu utokee ugomvi wa kundi maarufu africa psquare kumesababisha huzuni miongoni wa mshabiki wao. Kila mmoja peter na paul wamekuwa wakifanya project binafsi. Hata baada ya kupatana hakuna project ya pamoja waliofanya.

Diamond amewakutanisha kwa mara ya kwanza kwenye project yake, tangu jana wote peter na paul wapo south africa wakishoot video na diamond.
Jana wote wameshare picha wakiwa pamoja wakishoot video hiyo na kuamsha furaha ya mashabiki wao barani africa , na kusubiri kwa hamu kazi hiyo.

Nyimbo hiyo ya diamond inatarajiwa kupata attention kubwa miongoni mwa mashabiki na hii kuendelea kumtangaza zaidi diamond.

View attachment 342195View attachment 342196View attachment 342197View attachment 342198View attachment 342199View attachment 342200
 
Ligi zimetofautiuna balaa ! Kuna UEFA, kuna Dr Mwaka Ndondo Cup!!!
acha ktuongopea GT,, P square wamepatana tokka miez miwili iliyopita kabla hata ya project n MOndi,,, walishaasamehana na wapo pa1 kama familia kama zamanii
 
Hili toto (DIAMOND) linajua kucheza na fulsa,kipaji + akili + kujua biashara + kujitambua + kutokujali wabongo wanamuongelea nini = Atafanikiwa mara 100 ya alipo sasa.
Mwanaume omba sana upate mwanamke mwenye akili na anaejitambua. ukimpata huyo jua tyr umetoka.

Nyuma ya Diamond yuko mwanamke Zarina Hassani huyo ndo nguzo kuu yake amemsaidia sana hasa kimataifa

Hapo ndipo ule msemo unapotimia. kwamba kwenye mafanikio ya mwanaume jua nyuma yake yuko mwanamke
 
Back
Top Bottom