Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,310
Sakata la wimbo wake kuibwa na Mbunge wa Bunge la Muungano ni sehemu ndogo tu ya madhila yaliyowahi kumkuta msanii huyu mkongwe kwenye Bongo Fleva.
Miezi kadhaa nyuma aliwahi kuporwa lakabu/jina lake la Simba, lakini akaishia kulalamika bila kuchukua hatua yoyote, hata kusema hovyo kama muathirika mwenzake wa wizi wa majina, Geofrey Tumaini, Dudubaya, Kapafona, Kiwango, Vibration, Kenge, Hala Baby, Rais wa Dar Skendo, DuduZuri a.k.a Mamba!
Zamani kidogo niliwahi kusikia kuwa Baisa ameporwa demu, ama tuseme mahusiano yake yalienda mrama kwa shinikizo la watu wa nje... Sio poa lakini Baisa hakumaindi kihivyo, kiroho safi akaacha maisha yaende na muziki wake ukue.
Sasa hili la juzi ndio linauma zaidi, na linafaa kwa kick, lakini kaka wa watu kalalamika Instagram kama neneh sijui, yani kama anasihi aonewe ruhuma.
Lil Sama ni mtu muungwana sana, anajua mpaka wa kuongea na licha ya wanayomletea hajawahi kutakana ubaya na wabaya wake. Kiroho safi yani...
Kwa kweli Byser anaonewa, nimeona walau nimsemee...