Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,285
Mnajua kuwa inasemekana kuwa Tunda Man hakuwepo kwenye ile ajali iliyotokea hivi karibuni?
Kama alikuwepo inawezekanaje apone ikiwa hajafunga mkanda na waliofunga wameumia na kulazwa?
Iweje waseme simu na camera zimepotea alafu waje wakamatwe navyo Mikumi?
Au mshikaji aliyaka michango ya pole??? Kwa kujisingizia ajali? Kama kweli kaomba basi mshikaji ana roho ya kinyama sana.
Magazeti yakaandika eti dereva wake, wakati alikuwa msanii mwenzake ndio mwenye show. ALIYEKUFA SI DEREVA WA TUNDA, ni msanii.
Mtu hujafunga mkanda, na gari ndio kama linavyo onekana, unatokaje ukiwa mzima, hujavunjika wala kuchubuka, na hukulazwa hospital, TUNDA ACHA UWONGO.
Halafu Tunda Man ana roho mbaya sana.
Njano5
0622845394