Diamond ft Mafikizolo- Colours of Africa

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,060
64,953


Well done Diamond umetuwakilisha vizuri saaana.

Kuna rafiki zangu wa South Africa nimewasiliana nao leo wamemsifia sana Diamond.

Kweli nimefarijika: Diamond you make us very proud. Umeipaisha Lugha ya taifa, huu wimbo umepigwa sana leo huko South Africa.
 


Well done Diamond umetuwakilisha vizuri saaana.
Kuna rafiki zangu wa South Africa nimewasiliana nao leo wamemsifia sana Diamond.
Kweli nimefarijika: Diamond you make us very proud. Umeipaisha Lugha ya taifa.
Hapa naongelea bila ushabiki huu wimbo umepigwa sana leo huko South Africa.

RAI YANGU: Watanzania tuache ushabiki, Diamond kufika hapo alipo amekaza sana.
Pia, hata kama ana madhaifu yake Diamond ni mtu wa kusikiliza sana ushauri na kuheshimu watu (Moja ya nguzo kubwa ya mafanikio)

Diamond you are Tanzanian..,make us proud and do the most of it. Pamoja
 
Back
Top Bottom