Leo nina swali,Wasanii hapa Bongo ni wengi sana na hawa wasanii ni wachache sanaa ambao hawana Management! Diamond ndo nahisi anaongoza kwa kuwa na management kubwa na huwa sijui wote wanafaidika...
Maselebriti watu wazima, Madam wa Biesiesi na huyu Jacky Mchaga wanafanana sana tabia.. Hawa ni ndege? Nachozungumzia ni tabia ya kuruka na vi-underage.. Imo damuni mwao!
Nisameheni mie sijui...
Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa...
Kwa mara nyingine tena Wema Sepetu ameonyesha kutoa support kwa W.C.B kwa kupost picha kuhusu uzinduzi wa ngoma na utambulisho wa Rich Makovo ndani ya familia ya WCB hali hii imefanya team kiba...
Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na Salome Urassa ‘Thea’ wamepelekana kwa padri wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Mwananyamala jijini Dar kwa ajili ya hatua ya kutalikiana...
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti...
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo...
Nimekuwa msikilizaji wa Leo Tena ya Clouds Fm tangu kipindi cha marehemu Amina Chifupa.
Najaribu kumsikiliza huyu sijui anajiita Da Hu na kina Musa Hussein. Kiukweli hata sielewi wanatangaza au...
Anakwambia hakuna atakae msaidia Chidi bila ya yeye kujisaidia huko kujisaidia yapaswa kusema yeye mwenyewe anataka kuacha kutumia ngada.
Kasema hata Magufuli ampeleke Marekani kutibiwa bado...
Akizungumza na E news ya East Africa Tv mkuu wa Bagamoyo sobber house amesema chanzo cha Chidi Benz kuondoka kwenye kituo chao ni kutelekezwa na waliompeleka.
Anasema tangia Chidi apelekwe pale...
Haya sasa kumekucha instagram......Mzee wa degree 3 yupo katika mpambano wa hatari na Mkimama Mange Kimambi huko instagram kuhusu swala la Dr.mwaka
Naona mzee wa degree 3 anamtetea sana Dr.mwaka...
Nimekuwa nikimuona Le mutuz mara kwa mara akionyesha picha alizopiga na watu maarufu wa kiume na kike, na amekuwa akisema ana nyota ya kupendwa na watu maarufu na pia ni strategy ya kuinua...
Akiongea kupitia Friday Night Live kipindi kinachorushwa Live kupitia East Africa Television na kurushwa na East Africa Radio, msanii mwenye dili na Sony Music ALI KIBA aliulizwa swali kuhusu...
Ndugu wadau wa tasnia ya burudani hasa wa ukanda wa Africa mashariki, ningependa kuchukuwa nafasi kulaani vikali na kukemea vikali Tabia mbovu ya Watanzania wenzetu waliojipachika jina la...
Msanii wa filamu za kuchekesha, King Majuto amekanusha taarifa ambazo zilizagaa katika mitandao ya kijamii kwamba amestaafu kuigiza.
Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatano...
Dah!! nakumbuka enzi za bifu la clouds na mwanamuziki lady jaydee jinsi wafanyakazi wa clouds waliposhiriki ipasavyo kumkandamamiza lady jaydee wazi wazi akiwemo Mtangazaji machachari anayepiga...
Kama kuna director wa video za mziki anayejituma na kufanya kazi nzuri huyu dogo ni namba moja kwa sasa hapa bongo!
Huko nyuma walikuwepo Wananchi Video Production, wakaja Visual Lab wakawapoteza...