SHARO GANGSTAR
Member
- Jan 11, 2015
- 14
- 7
Akiongea kupitia Friday Night Live kipindi kinachorushwa Live kupitia East Africa Television na kurushwa na East Africa Radio, msanii mwenye dili na Sony Music ALI KIBA aliulizwa swali kuhusu mahusiano yake na Miss Tanzania number 2 wa mwaka 2006 Jokate Mwogelo, ALI KIBA alisema hana uhusiano na JOKATE na alipoulizwa kuhusu dada yake kuwa na urafiki na Jokate alisema wanawake huwa ni marafiki na ndo maana huwa wanaitana mpaka baby.