Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,506
- 103,164
Ndugu wadau wa tasnia ya burudani hasa wa ukanda wa Africa mashariki, ningependa kuchukuwa nafasi kulaani vikali na kukemea vikali Tabia mbovu ya Watanzania wenzetu waliojipachika jina la mapromota na kuacha Majina yao halisi ambayo ni "wababaishaji bin kanjanja kenge wahed.
Diamonds amepangiwa kufanya show DMV Marekani na wale wababaishaji waliomuita na Watu wa Afrika mashariki wanaoishi majimbo mbalimbali Marekani walisafiri kutoka majimbo yao mpaka DMV kuhudhuria show ya Diamond, lakini kutokana na ubabaishaji wa Wabongo hawa kanjanja kenge waged hawakujari muda wa show na kuanza kupandisha stejini wasanii wasiojulikana huu wakjuwa wazi mashabiki walikwend kuona show ya Diamond na matokeo take Diamond alipanga kuperfom nyimbo 28 lakini kutokana na muda kuwa mdogo na sheria za Marekani ziko wazi ilibidi afanye show kiduchu na kushindwa kukata kiu ya mashabiki (Hapa nisieleweke kwamba Diamond alikuwa chini ya kiwango, hapana)
Sasa basi kilichonikera Mimi ni hawahawa wababaishaji kumtapeli tena Diamond wakamchukuwa video clip ati Diamond anawaomba mashabiki msamaha wakati kiukweli Diamond hana kosa lolote pia hajavunja mkataba wa show, wao mapromota uchwara ndio walioferi kwenye time management.
Hivyo basi nawashauri Wabongo wote waiolipia show online waliverse malipo yao pesa zirudi ili iwe fundisho kwa wahuni wengine kama hawa, pia namshauri mdogo wetu Diamond next time asikubali kugeuzwa toilet paper kusafisha kinyesi cha wengine.
Truth to be told.