radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Anakwambia hakuna atakae msaidia Chidi bila ya yeye kujisaidia huko kujisaidia yapaswa kusema yeye mwenyewe anataka kuacha kutumia ngada.
Kasema hata Magufuli ampeleke Marekani kutibiwa bado hatopona mana dhamira yake haijakubali kuacha. Kamtolea mfano Ray C kwamba bado anakula ngada huko Bunju kaenda mbali zaidi anakwambia hata waunganishe nguvu Diamond na Babu tale bado haitosaidia bila ya yeye kujitambua na kuyakataa.
Madawa ya kulevya ni janga kubwa sana.