Dina Marios: Pengo lililoshindikana kuzibika Clouds FM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dina Marios: Pengo lililoshindikana kuzibika Clouds FM

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Radhia Sweety, Jan 13, 2016.

 1. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,445
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa msikilizaji wa Leo Tena ya Clouds Fm tangu kipindi cha marehemu Amina Chifupa.

  Najaribu kumsikiliza huyu sijui anajiita Da Hu na kina Musa Hussein. Kiukweli hata sielewi wanatangaza au wanabwabwaja.

  Leo Tena kimekuwa ni kipindi kisicho na mvuto wala mwelekeo. Mpangilio wa nyimbo ovyo, makelele tu mwasho mwisho, watu kubishana tuu kama mitoto ya chekechea bwana.

  Clouds hata kama huwa mnajisifia eti kwenu hakuna mtangazaji atakayejifanya star, ni ukweli usiyo na shaka yoyote Dina Marios ndiye mtangazaji pekee aliyeweza kukimudu hicho kipindi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 13, 2016
 2. P

  PAGAN JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 7,230
  Likes Received: 8,450
  Trophy Points: 280
  Hizi thread nyingine hizi, si usikilize radio nyingine tu. Kuandika humu itasaidia nini?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2016
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 27,559
  Likes Received: 5,868
  Trophy Points: 280
  Dina yupo kwenye Uhondo Efm.
   
 4. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2016
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,082
  Likes Received: 1,483
  Trophy Points: 280
  Tulishamsahau huyo Dina... Kama huwa hawakufurahisi huna ulazima wa kuwasikiliza... Tune in EFM utakutana na Dina wako.....
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,445
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Hiyo radio haifiki Musoma
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,445
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Mnapotoa comments muwe mnaweka kichwani kuwa JF inapatikana hadi Tarime, siyo Dar tu.
   
 7. nasmapesa

  nasmapesa JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2016
  Joined: Jul 31, 2014
  Messages: 3,982
  Likes Received: 3,034
  Trophy Points: 280
  boss we ni me au ke
   
 8. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,445
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Vipi unataka unipe makalio?
   
 9. Microsoft

  Microsoft JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2016
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  I'd za JF zinaficha mengi
   
 10. mutagaywa

  mutagaywa JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2016
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 896
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  Jamani napita tu mm namjua hapo gear habibu au naye alishatoka
   
 11. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,445
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Yupo lakini amepwaya sana
   
 12. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2016
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 46,262
  Likes Received: 34,483
  Trophy Points: 280
  Celebrities forum, piteni jf intelligence basi
   
 13. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2016
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,540
  Likes Received: 10,964
  Trophy Points: 280
  Hivi eeh!

  Ngoja nijifunze taratibu za humu kwanza.
   
 14. Lusajo11

  Lusajo11 JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2016
  Joined: Dec 13, 2014
  Messages: 1,900
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280

  Ila na wewe mura katika vitu ambavyo sio vya kufanya kama mwanaume ni kusikiliza leo tena. Labda kama wewe ni mvulana. Hiyo huwa tunaisikiliza kwa bahati mbaya kwenye maeneo ya jumuiya
   
 15. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2016
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 46,262
  Likes Received: 34,483
  Trophy Points: 280
  Mlangoni tu pameandikwa mazuri na vimbwanga vya ma celebrities, sa sijui wengine mnategemea kukuta habari gani huku
   
 16. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2016
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,540
  Likes Received: 10,964
  Trophy Points: 280
  Sawa mama mchungaji, sirudii tena.
   
 17. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2016
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 4,707
  Likes Received: 2,827
  Trophy Points: 280
  Kesho njoo na sredi inayosema "napenda kumsikiliza Dina Marios wa EFM"
   
 18. P

  PAGAN JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 7,230
  Likes Received: 8,450
  Trophy Points: 280
  No, mimi wala sikuongea nje ya mada. Kasema tokea Dinah Marios ameondoka Kilaudis imepooza, nimempaka ushauri abadilishe chanel.
   
 19. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,445
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Akili zako sijui zikoje. Hiyo radio haifikii Musoma.
   
 20. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,445
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Usipotoshe umma
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...