Atakuwa mdogo wangu.
haaaaa wenzako wametulia we watafuta nini huku mitandaoniAtakuwa mdogo wangu.
mimi nina 91½yrs old
Nasherehesha tuhaaaaa wenzako wametulia we watafuta nini huku mitandaoni
Hayo ni mawazo ya kibongobongo. Wenzetu hawako hivyo akichakachua picha tu wanamshtukia mapeeeema na media itamuumbua kesho yake.Nina wasiwasi na hizo picha zinaweza kuwa za nyuma sana. Sio muonekano wake wa sasa
Dah, vizazi vinne hivyo bado na afya tele. Pesa pesa pesa!
Umeona enh!! Mwafrika akubali kuzeeka na kutokalia kiti wakati anakiona hivi hivi kinamtazama kiulainii! Kama asinge-restisha in peace kabisa angetoa dozi ambayo ingemfanya aachie kiti!Kibongobongo Prince Charles angemuendea kwa Mganga tu amtangulize Elizabeth ili asombe Crown chige