Wema awafungukia wanaomsema kutembea na Bajaji

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.

Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine na maisha yote anastahili kuishi.

“Jamani sijui mijitu mingine ikoje? Bajaj ni usafiri kama usafiri mwingine, sasa cha ajabu nini mimi kuutumia? Mniache na maisha yangu,” alisema Wema.
 
Bajaji mbona ni boonge moja la usafiri,ila watu wanakushangaa kwa kuwa hawajui kama vogue limeenda na maji baada ya kupigwa mnada na wewe kushindwa kuligomboa.
 
sasa celebrity wa wala vumbi si ndio mla vumbi wa kwanza, sasa analalamika nini?

Anacholalamikia ni watu kumshangaa yeye kupanda bajaji. Jambo ambalo nakubaliana naye. Maana bajaji ni usafiri wa kawaida tu siku hizi. Upo kila sehemu ya nchi hii. Sasa kwa nini akipanda yeye iwe gumzo? Wamwache bana.....
 
Anacholalamikia ni watu kumshangaa yeye kupanda bajaji. Jambo ambalo nakubaliana naye. Maana bajaji ni usafiri wa kawaida tu siku hizi. Upo kila sehemu ya nchi hii. Sasa kwa nini akipanda yeye iwe gumzo? Wamwache bana.....
Wewe huyu wiki iliyopita ametuambia anatumia milioni ngapi vile kwa nywele kwa wiki. Kama alipanda basi alikua anaact movie ndio maana amekasikirika watu wanashoboka wakati yeye ni baby wa Range Rover New Model.
 
Hataki kufuatiliwa Maisha yake Nape alienda kufungua Mobile App ya kazi gani? au anataka afuatiliwe maisha yake kwa malipo eenh!


CHECK VIDEO WEMA SEPETU AWA MWANAMKE WA KWANZA AFRICA KUZINDUA MOBILE APP YAKE
Posted by Williammalecela.com on Monday, May 23, 2016




13258903_1603175563329597_1643088551_n.jpg

wema Sepetu have become the first Female Artist in Africa to open up her mobile website application

,wema sepetu has made history in Tanzania after

BOFYA HAPA KUONA VIDEO YA APPS HIYO
 
Back
Top Bottom