Hata mie naona hii n business kabisa hawa maneja watatu wa mond wanawazaga mbali sana ile isije ikawa km kipindi kile waliposema wamenda china kuigiza movie kumbe...nilishawahi kusema, talle, fella, na sallam ni master mind wa entertainment east afrika, watu walinitukana.. yaweza kuwa ni mapenzi yake, au yaweza kuwa kaingiziwa mkwanja wanajua kutakuwa na return, fan base ya wema ni kubwa sana, kama upepo wake ukiamishiwa WCB ni pesa tu, Ally kiba alipata hiyo nafasi hakujishughulisha nayo, kama ni kweli ni deal basi iko planned na outcome yake ni pesa.
Kwa nini ndugu aumuamini Wema au?Mapema sanaaa kulisemea hiliii
Kabisa mkuu!! Mapema sana kusema sepetunga amekubali yaishe na baba tee, hizi zinaweza kuwa ni 'mind games', tusubiri kidogo tuoneMapema sanaaa kulisemea hiliii
Hahahahahah ila wewe mwanaume ndio umbea unakufaa? Usijilegeze mbele za watu toka hukoACHA UMBEA WE MWANAMKE