Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
Nimekuwa nikimuona Le mutuz mara kwa mara akionyesha picha alizopiga na watu maarufu wa kiume na kike, na amekuwa akisema ana nyota ya kupendwa na watu maarufu na pia ni strategy ya kuinua biashara zake...anyway huenda ni kweli, lakini i am trying to connect the dots kuhusu Le mutuz alivyopost kuumizwa na kifo cha Secky( nafikiri wengi pia wameguswa kwa msiba huu nikiwemo na mimi ingawaje we never met and knew each other, nimeguswa kwa sababu ni binadamu mwenzangu na pia he was at the peak of his success,as they claim he was financially stable)

Miezi kadhaa ya nyuma Le mutuz alipost picha akiwa na Lulu somewhere at one of the big hotel, nafikiri ilikuwa Double tree, if you connect the dots,Le Mutus alikuwa na demu wa rafiki yake, kumbe inawezekana pamoja na biashara anazodai kufanya huyu mshikaji huenda pia nimiddle men, dalali au kuwadi wa mademu celebrity kwa big boys with cash in town.

Tafakari.

- Marehemu Seky, Mungu amuweke pema peponi alikuwa ni rafiki yangu wa karibu sana alikuwa ananiheshimu sana akisema kwamba anaheshimu AKILI YANGU KUBWA aliniambia na kuwaambia watu wengine mara nyingi sana kwamba anahitaji kuwa karibu na mtu mwenye AKILI KUBWA kama mimi pamoja na utajiri wake wa ajabu alilisema hili neno kila wakati bila kusita, ushahidi wangu mkubwa on this ni Siku Tano kabla ya kufa kwake tulikuwa Mliman City mimi nimesimama na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda tunaongea Marehemu akaja na gari lake kwa karibu sana na kumsalimia Makonda, haya ni maneno ya mwisho aliyomuambia Mh. Makonda " Mheshimiwa DC huyu Le Mutuz ni kichwa kikali sana nashangaa CCM hamumtumii inavyotakiwa, waambie wakuu wenu kuhusu hiki kichwa" Mheshimiwa Makonda alimjibu pole pole "Ndio maana nipo naye hapa kaka" Marehemu akaondoka.

- Jumamosi ya Wiki aliyofariki Mke wake aliugua ghafla, Marehemu akanipigia Simu kama Saa Moja na Nusu kwamba Mke wake anaumwa sana nipo wapi, mimi nilikuwa Escape One Mikochen, akaniambia anaenda Baraka Plazza kuna Hospitali gorofa ya pili nikamfuata tukakaa hapo mpaka baada ya masaa kama 4 Mke wake akapona. Ijumaa mimi yeye Marehemu na Mke wake na majirani zao mtu na mke wake tulikuwa tunakula bataz Tripple 7 Club, ilipofika usiku sana tukaachana.

- Jumapili Asubuhi Marehemu akanipigia simu kwamba anaelekea benki kuchukua pesa kwa ajili ya safari ya kwenda Iringa, kama ninataka kwenda naye nikamwambia hapana nina kazi sana ofisini, akaniambia nakwenda narudi kesho na kesho akanipigia akiwa anarudi. Kesho yake akanipigia Asubuhi Saa 12 na Nusu Asubuhi hakunipata nilipoona missed call nikampigia Saa Moja na Nusu, akanijibu kuwa atanirudishia ana kitu anafanya. Saa Mbili na Nusu akanipigia tukaongea kwa lisaa limoja na kukubaliana kwamba atanipigia back in One hour kuhusu wapi twende Usiku kula bataz. Masaa Matatu later Assistant wake akanipigia simu kwamba Seky amefariki, nikampigia mke wake aliyekuwa na yule jirani tuliyekuwa naye Ijumaa Trpple 7 Club wakanihakikishia kwamba ni kweli na wao wapo Hospitalini palipotokea kifo hicho.

- Tokea kumfahamu mpaka kufa kwake Marehemu Seky hakutaka picha kabisa so sikuwahi kupiga picha naye, ingawa alinitaka nipige na mkewe bila tatizo na sikuwahi kumuona akipiga picha so ndio maana hata alipofariki sikuwa na picha yake wala picha naye, but hata picha zilizotolewa hakuna hata moja ya hivi karibuni maana yake ni kwamba aliamua kutotaka picha kwa muda mrefu sana sasa ndio maana hata picha zilizojitokeza zote ni za zamani sana, sijaona picha hata moja ya hivi karibuni inayomuonyesha kama alivyokuwa siku chache kabla ya kufa kwake.

- Urafiki wa mimi na Super Star Lulu Michael unaanzia kwa Mjomba wake Super Bilionea Ben ambaye ni jirani yangu kwenye Shamba na Nyumba yangu Kinyerezi na rafiki yangu sana , Ben ndiye aliyepigana sana mpaka kumtoa Lulu jela na Ben amekuwa Mdhamini mkubwa wa Show zangu zote na hasa ninapofanya mashindano ya Miss Ilala so uhusiano wangu na Lulu na Seky haukuwa anything to do with anything na sijui kama walikuwa ni wapenzi I have absolutely no clue. Nimekuwa na Lulu sehemu nyingi sana kuna wakati tulikuwa Moshi alipokuwa anatengeneza Show yake, na tumekuwa pamoja kwenye events nyingi sana za Ma Super Star kama kwenye Party ya Birthday ya Aunt Ezekiel, kwenye mashindano ya Miss Ilala huwa ninampa Complimentary tikets anakuja.

- Ok Post yako nzima na kutaka kunichafua kunategemea neno moja nalo "Huenda" maana yake ni moja hata wewe huna uhakika na ulichokiandika, hao unaowasema wanamjua sana Marehemu wote hakuna aliyekuwa anajua Ratiba ya nzima ya Msiba ni mpaka mimi ndiye niliyekuwa nazitoa Instagram, nilipoamua kurudi bongo baada ya Miaka 30 nje kuna Waliobaki ambao hawakufurahishwa pamoja na my ex Wife ambao waliamua kuzusha maneno mengi sana ya kunichafua wakidhania kwamba sitaweza maisha ya bongo, now sio siri imeshaeleweka kwamba ninayaweza maisha ya bongo na sijamruhusu yoyote yule zaidi ya Marafiki zangu muhimu tu wa karibu kujua ninafanya biashara gani, so sasa yamekuwa haya.

- Ok lets mimi nawauza Wanawake ambao ni marafiki zangu kama unavyodai, ok kosa langu linakuwa ni nini hata kama ni kweli I mean uliyeandika hii post kama ni Mwanaume kwa kweli lazima una matatizo makubwa sana haiwezekani kuandika maneno mengi mazito uliyoyaandika kwa kutumia hoja ya "Huenda" that is sad, mimi ninaishi maisha yangu ninajilpia maisha yangu mwenyewe, ni kweli nina marafiki matajiri na nina marafiki masikini na kwenye Instagram yangu ninaweka picha na marafiki zangu sipangiwi na mtu yoyote na wala simpangii mtu yoyote maisha yake,

- Mnanichekesha sana mnapoajaribu kila siku kunitafutia matatizo wakati sina matatizo wenye matatizo ni nyinyi wenyewe sure mimi ninapenda sana topic kama hizi cause zinazidi kuniongezea umaarufu kwa sababu mnaandika uongo nikija kujibu mnachekesha sana so mnanipa ubingwa wa bure tatizo lenu ni CHUKI maana mmezaliwa Tanzania maisha yenu yote mpo hapa hamna maendeleo kama yangu ya Miaka 4 tu toka nirudi, sasa mnatafuta excuses kila siku kwamba kuendelea kwangu kwa haraka haraka ni kwa sababu ninauza Wanawake marafiki zangu ninaokula nao bataz so mkizusha majungu kama hayo ndio mtalala usingizi mzuri hahahahaha poleni sana, kama nimeweza kuishi miji mikubwa kama Hongkong na New York siwezi kushindwa kuishi Dar,

- hahahaha nina tabia moja muhimu sana huwa kama sikujui sikujui na kama nakujua nakujua na besides katika uzushi wenu mwingi mnakosea one thing mnasahau kwamba mimi ni Mtoto wa Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu, hawa marafiki zangu wote wanalijua hilo ndio maana hatuwezi kuwa sawa kwenye kufahamiana na watu najua linawakera sana ila ninajua kwamba Wazee wote walioenda Shule zamani wanajulikana sio kosa langu kwamba Wazazi wako hawakwenda Shule, maana huwezi kuwa na elimu kubwa kama yangu ukaja Mitandoni na kutumia majina ya bandia kutukana na kuwazushia watu wanao onekana kukuzidi kimaisha lazima utakuwa umepungukiwa akili sana kuliko unaowatukana kama mimi ninayeingia kwa jina langu na kuweka mambo yangu Instagram yangu bila kumuogopa mtu.

I HOPE NIMEKUSAIDIA SANA NA NIMEWASAIDIA WAJINGA WENGINE WENGI WALIOCHANGIA HII MADA BILA KUJUA WANACHOKISEMA HAHAHAHA

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK!!

Le Mutuz
 
Duuh!.Le Mutuz Ni Kuhadi.?!! We Kubwajinga Ebu Kuja Uku Ufunguke Tuhuma Zako!
 
le mutuz huwa anafatilia sana where abts za mastar,ili akaombe kupiga nao picha.hana jipya huyo anataka kuaminisha watu yupo karibu na ma star na wenyenazo,huwa anajipendekeza sana,wala hakuna bilionea ama star anaemtafuta wala kuomba apige picha na le kitambiz
 
Nimekuwa nikimuona Le mutuz mara kwa mara akionyesha picha alizopiga na watu maarufu wa kiume na kike, na amekuwa akisema ana nyota ya kupendwa na watu maarufu na pia ni strategy ya kuinua biashara zake...anyway huenda ni kweli, lakini i am trying to connect the dots kuhusu Le mutuz alivyopost kuumizwa na kifo cha Secky( nafikiri wengi pia wameguswa kwa msiba huu nikiwemo na mimi ingawaje we never met and knew each other, nimeguswa kwa sababu ni binadamu mwenzang na pia he was at the peak of his success,as they claim he was financially stable, ........)

Miezi kadhaa ya nyuma Le mutuz alipost picha akiwa na Lulu somwhre at one of the big hotel, nafikiri ilikuwa Double tree, if you connect the dots,Le Mutus alikuwa na demu wa rafiki yake, kumbe inawezekana pamoja na biashara anazodai kufanya huyu mshikaji huenda pia nimiddle men, dalali au kuwadi wa mademu celebrity kwa big boys with cash in town.....

Tafakari.


mbona kitambo tu jamaa kuwadi hilo...
 
U know nipo na super mogul Davies Mosha Mtanzania mwenye utajiri wa ajabu u know..

Wabebez wanapenda ku'hung na mimi sababu mimi ni super friend na mabilionea wa bongo u know..

Unajua Omari Bahressa the Big Boss wa SSB hawezi kukubali kupiga picha na watu wa ajabu ajabu..

Ndege tufananao tunaruka pamoja U know..
 
I don't know what you heard about me
But a b!tch can't get a dollar out of me
No Cadillac, no perms, you can't see
That I'm a mo'fo P-I-M-P


 
le mutuz huwa anafatilia sana where abts za mastar,ili akaombe kupiga nao picha.hana jipya huyo anataka kuaminisha watu yupo karibu na ma star na wenyenazo,huwa anajipendekeza sana,wala hakuna bilionea ama star anaemtafuta wala kuomba apige picha na le kitambiz

Anapiga mizinga huyo hatarii zaidi y matonya pia ukuwadi inawezekana ila jb ndio kuwadi bora usione umri n tambi lake ni kuwadi balaa tena hela mbuzi tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom