Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Hawa jamaa naona hii collabo yao inaweza kuwa gumzo kwa staili waliokuja nayo, nimeona clip zao kwa kweli wanaonyesha ubunifu flani hivi wa kuvutia kiaina, huyu Katarina wa Karatu daah, ni bonge la comedian na lafudhi yake anaacha watu hoi halafu anajiamini sana! Bila shaka wapo wanaowafahamu kiundani...