Kagondo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 296
- 79
Ujio wa wasanii wapya wa kazi ya sanaa katika UIGIZAJI na UIMBAJI, unaonekana kuwatoa na kuwasahaulisha kabisa wasanii wa zamani tuliowazoea.
Wasanii kama, Ray, Johari, na wengineo katika maigizo wametoweka midomoni mwa watu.
pia wanamuziki wengi waliovuma hapo siku za mwanzo, kwa sasa wamefunikwa , leo hii tunao wapya.
wakumbukwe wasanii kama Bushoke, Ferooz, Mr. Nice, Mnyaru na wengine wengi hata zaidi ya hao (nimetaja kwa kadri ya akili ilivyokumbuka)
Tujiulize tatizo ni nini, kubadilika kwa aina ya sanaa,au na hali za uchumi, au ni kushift to another deals?