nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,711
- 11,971
Mwanzilishi mwenza na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir jana alifanya mahojiano na kitua cha televisheni cha nchini Uingereza, BBC na kuelezea namna alivyoweza kujiajiri na jinsi anavyoendesha shughuli zake.
Video: Mtazame hapa akihojiwa na mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus.