Rich Mavoko - Ibaki Story (Official Video)

Hii Nyimbo ni nzuri sana wakuu,bonyeza hapo katikati ukapate kujionea
 
Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia
Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine
Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu pengine
Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha ukaweka wazi
Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi.......
Na unajua hata nikilia, siwezi kutokwa na machozi
We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo
Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo
Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto
Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto
........
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe.......
 
Aisee mashairi mazito sana haya.
 
Hee mm nilijua bado ya harmonize maana maeneo na mavazi ndo yaleyale au ndo sale ya WCB(red & white)
 
Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia
Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine
Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu pengine
Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha ukaweka wazi
Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi.......
Na unajua hata nikilia, siwezi kutokwa na machozi
We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo
Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo
Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto
Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto
........
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe.......
powerful lyrics. ... unaweza lia kama umevurugwa na mahaba
 
Sichukii wazungu ila hawa wasanii wa kiafrika wajifunze pia ku~support rangi nyeusi, wazungu wanapeana support ila waafrika sasa, tusijaribu kujifanya wazungu.

Kila msanii akikua siku hizi ni either mzungu au mdada mweupee mix, ila pure African hata siku moja. Ndio kuonyesha kua mtu hadi kufanikiwa inabidi atembee na mzungu au?

Ningepotezea kama kungekua hamna tatizo lakini tatizo lipo, tumefanya kigezo cha uzuri wa mwanamke kua rangi nyeupe, sasa wadada wetu weusi ni full kujichubua, wengine full kunywa maji.

Mwisho wa siku wadada weusi wamekua na very low self esteem, hawajiamini kabisa, wakienda kama nje hivi wanajihisi hawa~belong kwenye group wanahisi wao ni wa mwishoni mwishoni. Na wanaosingizia ati Africa ina rangi nyingi waende huko, majority ni weusi. Tusipo jaribu kubadilisha hii culture wenyewe tujiandae kua na nchi ya wajichubuaji. Namkubali Flavour, haigiigi ovyo, yeye hata akiweka mweupe lazima ataweka na weusi kama watano pembeni na kuwapa ulead.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom