Diamond Platnumz kufanya makamuzi Australia

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,406
Mwanamuziki Diamond Platinamuz atafanya show nchini Australia kuanzia tarehe 15 16 na 17 July katika miji ya Melbone Sydney na Peth, kiingilio kitakuwa laki tatu za bongo kwa kichwa na ticket tayari zimekwisha. Msafara wake utajumuisha madensa wake na mama Tiffa ila sina uhakika kama Wolper nae atakuwepo. Zaidi ya mashabiki 200 wa chibu walioko china kwa shughuli za kibiashara pia wataungana nae nchini china wakati akielekea huko nchi za mbali, hongera sana. Max Watt's — Live music in Melbourne
 
Haya sasa... Bongo flavour to the world.... ndo hiyo sasa..

Msisubiri pindi diamond atakaposhuka ndo mje kumsifia eti alikuwa anapiga show hadi australia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom