Collabo na Papa Wemba: Diamond Platnumz kashashindikana

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
644
553
Wadau habarini,

Ndugu yetu kitaifa yupo huko kwa wazungu, ila kashaanza kutusumbua na wimbo wake wa #boranibakipekeyangu ft. Hayati Papaa Wemba kwa kifarasa sijui presuko sheo nini sijui.

By the way, mwenye wimbo atudondoshee tuburudike.
==========

 
Kweli kuna vitu inabidi ufosi. Wakwanza anaanzisha uzi, wapili na watatu wanausifia, mwingine anauweke looh . Ila mwimbo sio mbaya
 
Back
Top Bottom