Diamond kushinda tunzo ya BET haiwezekanii!!

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
803
1,284
Kwanza nikiri kabisa katika moja ya mtanzania ninaye mkubali Diamond kwa kazi anazozifanya ni mimi apa.Jamaa amekuwa balozi mzuri sana kwa nchi yetu,ameipeperusha vyema bendera katika sekta ya muziki duniani na mengineyo meeeengi ambayo nisijichoshe kuyasema maana mnayafahamu.

Jitihada zake hizi ndizo zimemfanya awe nominated katika tunzo kubwa kabisa za BET kwa mara ya pili.Nasikitika kusema mapema kuwa hatoweza kushinda iyo tunzo kwa mwaka huu labda achaguliwe tena kwa mara ya tatu mwakani.

Nimesema hatoweza kuchukua mara baada ya kuangalia mwenendo wa mpinzani wake mkubwa kwenye tunzo hii WIZKID WIZKID WIZKID!!!!!! Daah huyu dogo kwasasa anatrend mnoo marekani kuliko hata afrika,naweza kusema amefaulu kupenyeza mziki wake marekani kwa 55%.
Hii ni mara tu alipofanya colabo na Drake ,wimbo uliomfungulia njia mara baada ya wimbo huitwao 'one dance' kuvunja rekodi kwenye billboard top 100.Juzikati hapo pia aliperform colabo yake nyingine aliyofanya na Chriss Brown wimbo wao unaitwa 'African bad girl'..hili nalo ni bonge la hit...hakuishia hapo,nyota ikazidi kung'ara kwake mara baada ya kupost picha akiwa na super producer wa marekani Swizz Beatz na kuweka caption ya kuashiria kuna hit nyingine inakuja...

Kwa mwendo huu naona ni vigumu sana kijana wetu Diamond kuchukua tunzo ya BET kwasasa maana mbabe wake Wizkid tayari kashawasha moto huko Marekani na watu washamkubali...naweza kusema ''Diamond wa kimataifa,lakini Wizkid wa kidua"

All in all tumtakie tu kila la kheri mtanzania wetu na kumuombea pia..namshauri Mondi akishatoa kolabo ya Psquare, hit inayofatia atoe aliyofanya na Wizkid kwanza kabla ya ile aliyofanya na Neyo...maana ni ukweli usiopingika kwasasa Marekani wanamsikiliza zaidi Wizkid kuliko wanavomsikiliza Neyo.
444444.jpg
SEEEE.jpg
 
Wabongo bwana mwaka jana stone boy wa Ghana akichukua tuzo alimpita mpaka davido, vp mbona hili haushangai? Mond ana asilimia nyingi ya kumchukua hii tuzo mtv ema aliyochukua mwaka jana inambeba, alafu wenzetu tuzo zao haziongozwi na hisia na chuki kama zenu, zinaongozwa na tafiti, plus reference na cabinet ya watu wanaoufuatilia mziki wa tz. Wizkid yupo juu ktk kipindi hiki cha miezi miwili baada ya one dance lkn kuanzia mwezi wa nne kurudi mpaka mwezi wa tisa mondi ndie msanii aliyekuwa anaongoza, alafu kama ww mfuatialiaji wa mziki kwa nn hujiulizi Adelle licha ya album yake kufanya vizuri wiki ya kwanza kauza kopy 1.25m, hello ndani ya miezi miwili youtube viewers bilioni 1 kwanini hakuchukua tuzo yoyote grammy? Sasa adelle subiri grammy ya mwakani mwezi wa Kwanza akikosa kosa basi kabeba tuzo Tatu. Usiongozwe na chuki bali fanya maamuzi kwa kuangalia Hali halisi lkn hata kama akikosa still kwangu bado ni mshindi.
 
1. Hawezi kupewa tuzo kisa tu eti amepost picha akiwa na Swiss beatz, au kisa ameparfom jukwaani na CB.. Wizkid hajaanza leo kuperform na CB ameanza toka 2014 south Africa..

2. Hawezi kupewa tuzo kwa sababu ya kutrend miezi miwili hii.. Wanaangalia amefanya wonders gani katika kipindi cha mwaka mmoja na hakuna ubishi ukichukua mwaka mmoja uliopita hakuna msanii aliyeitikisa Africa kama Diamond..

3. Tuzo zinatolewa na watu waliofanya research na kujua ni kichwa gani kina misuli ya ushawishi katika eneo lake husika (Africa), na kigezo hicho Mondi kinambeba kwasababu tayari ana tuzo za MTV Africa, MTV EMA (Best African Act) , na ile ya Best Worldwide Act..

Mwisho; nawapongeza kwasasa jinsi mnavyomshindanisha Mondi na wizkid coz huyo ndio saizi yake inaonesha mmeelewa kuwa Mondi sio wa kunfananisha na yule msanii wenu asiyejielewa..

USHAURI: nawapongeza sana kwa kampeni yenu ya kutaka kumshusha mondi kwani inampa morali mondi ya kuzidi kufanya mambo makubwa zaidi na matunda yanaonekana na inatufanya sisi tunaopigania mziki wetu ufike mbali zaidi tuzidi kumshauri vyema Mondi..

Karibu sana airport mwezi July tumpokee mondi akirudisha ndoo nyumbani! We Luv yu haters..
 
Ila mwisho wa siku majority yawapiga kura watatoka Africa, na hapo ndo Diamond anapoweza kuibuka kidedea...nilichokuja kugundua ni kwamba watu wengi walioenda shule, hua wanaanza kufundishwa na vitu visivyowezekana kwanza ndo mana wasomi wengi Tanzania hujikita kwenye vitu visivyowezekana....
 
Jitafakari upya kijana, BET hawafanyi maamuzi kutizama majina ya wakina Chris Brown maana hao ni waajabu kwetu ila kwao ni wa kawaida saaaana..

Jiulize Davido mwaka jana alitoa collable na MeekMill ila mwaka huu hayupo katika hata hizo nominations, Kwahiyo kigezo cha majina ya wasanii hao hakina uzito wowote..

Pili unapoona Wizkid ametokea kwenye collable ya One dance na inatisha Billboards Sio sababu yeye kupewa marks, kwakuwa
1. Wimbo sio wake
2. Wimbo hautambuliki kwenye BET mwaka huu maana hata Drake ameingilia Hotline bling n.k ila sio one dance
3. Kila msanii pale ameingia kwa wimbo wake na sio kuangalia mgongo wa fulani.. Wizkid kaingilia Ojuelegba, Diamond ameingilia Nana, sasa kutafuta mshindi unaanzia hapo, kuelekea kura za mashabiki, majudge, n.k
 
Dogo anadhani hizi tuzo za ktma, unatoa nyimbo wiki hii wiki ijayo upo kwenye category zao za tuzo!
 
acha kupotosha umma. Kipengengele alicho normineted diamond platnumz cha mtumbuizaji bora wa mwaka kinamruhusu kuchukua tuzo. Diamond yuko vizuri ki utumbuizaji kumzdi wizkid. Ww unayemkatsha tamaa umekuwa Mungu?? Shame on you
 
  • Thanks
Reactions: ora
Kwanza nikiri kabisa katika moja ya mtanzania ninaye mkubali Diamond kwa kazi anazozifanya ni mimi apa.Jamaa amekuwa balozi mzuri sana kwa nchi yetu,ameipeperusha vyema bendera katika sekta ya muziki duniani na mengineyo meeeengi ambayo nisijichoshe kuyasema maana mnayafahamu.

Jitihada zake hizi ndizo zimemfanya awe nominated katika tunzo kubwa kabisa za BET kwa mara ya pili.Nasikitika kusema mapema kuwa hatoweza kushinda iyo tunzo kwa mwaka huu labda achaguliwe tena kwa mara ya tatu mwakani.

Nimesema hatoweza kuchukua mara baada ya kuangalia mwenendo wa mpinzani wake mkubwa kwenye tunzo hii WIZKID WIZKID WIZKID!!!!!! Daah huyu dogo kwasasa anatrend mnoo marekani kuliko hata afrika,naweza kusema amefaulu kupenyeza mziki wake marekani kwa 55%.
Hii ni mara tu alipofanya colabo na Drake ,wimbo uliomfungulia njia mara baada ya wimbo huitwao 'one dance' kuvunja rekodi kwenye billboard top 100.Juzikati hapo pia aliperform colabo yake nyingine aliyofanya na Chriss Brown wimbo wao unaitwa 'African bad girl'..hili nalo ni bonge la hit...hakuishia hapo,nyota ikazidi kung'ara kwake mara baada ya kupost picha akiwa na super producer wa marekani Swizz Beatz na kuweka caption ya kuashiria kuna hit nyingine inakuja...

Kwa mwendo huu naona ni vigumu sana kijana wetu Diamond kuchukua tunzo ya BET kwasasa maana mbabe wake Wizkid tayari kashawasha moto huko Marekani na watu washamkubali...naweza kusema ''Diamond wa kimataifa,lakini Wizkid wa kidua"

All in all tumtakie tu kila la kheri mtanzania wetu na kumuombea pia..namshauri Mondi akishatoa kolabo ya Psquare, hit inayofatia atoe aliyofanya na Wizkid kwanza kabla ya ile aliyofanya na Neyo...maana ni ukweli usiopingika kwasasa Marekani wanamsikiliza zaidi Wizkid kuliko wanavomsikiliza Neyo.
View attachment 358520 View attachment 358520 View attachment 358521 View attachment 358521 View attachment 358520 View attachment 358521
Dah et marekani wanamsikiliza wiz kid kuliko neyo upo serious.? mbona nwaka jana r.kelly alitoa collabo yke ft wiz kid ila kwny bet akashinda stone bwoi wa ghana mbele ya wiz kid
 
Kweli tunzo hawezi kuchukua ya BET lakini tuzo atachukua ya BET sababu hakwenda kule kugombea tunzo bali ameenda kugombea tuzo,na kama Wizkid anagombea tunzo basi ni kweli hana mpinzani,unaweka mapicha meengi mbona huzungumzii diamond aliyofanya show kubwa kuliko iliyowahi kufanywa na wanamziki wote wa africa waliyowahi kufanya marekani,mbona huzungumzii diamond kupiga picha na Kanye magharibi?kumbuka diamond sio muonyesha mavazi bali mwanamziki,picha hazimpigii kura!
 
Nawaza kwa sauti tu..

Kati ya Ojuelegba vs Nana ni ipi ilikimbiza zaidi mwaka jana? Jibu mnalo..

Ok, Ngoja niwe mzalendo na nipige kura kizalendo ila ukweli uko moyoni
 
Watu na bahati zao, Chibu namkubali na kijana ana nyota yake ya pekee! Kwa hiyo hata kama hana hizo za Wizkid kama ni yake ni yake tuu!
 
Mleta mada a.k.a mleta sumu nadhani wakuu hapo juu wameshakuelimisha vizuri tu @thebold Kidingi na joseph1989 sirudii. Kwa DIAMOND kuwa nominee tayari yeye ni mshindi hata kama hajapata maana Africa ina wasanii wengi mno (hadi waliochini ya kampuni ya Sony) lakini wamekosa hiyo nafasi kwa sisi (mashabiki wake,naogopa kusema waTZ.) yeye keshashinda na ninampongeza kwa hilo. Naamini hata Tuzo (sio tunzo) atashinda pia.
 
BIGGEST REPLIES EVER
Wabongo bwana mwaka jana stone boy wa Ghana alichukua tuzo alimpita mpaka davido, vp mbona hili haushangai? Mond ana asilimia nyingi ya kumchukua hii tuzo mtv ema aliyochukua mwaka jana inambeba, alafu wenzetu tuzo zao haziongozwi na hisia na chuki kama zenu, zinaongozwa na tafiti, plus reference na cabinet ya watu wanaoufuatilia mziki wa afrika. Wizkid yupo juu ktk kipindi hiki conha miezi miwili baada ya one dance lkn kuanzia mwezi wa nne kurudi mpaka mwezi wa tisa mondi ndie msanii aliyekuwa anaongoza, alafu kama ww mfuatialiaji wa mziki kwa nn hujiulizi Adelle licha ya album yake kufanya vizuri wiki ya kwanza kauza kopy 1.25m, hello ndani ya miezi miwili youtube viewers bilioni 1 kwanini hakuchukua tuzo yoyote grammy? Sasa adelle subiri grammy ya mwakani mwezi wa Kwanza akikosa kosa basi kabeba tuzo Tatu. Usiongozwe na chuki bali fanya maamuzi kwa kuangalia Hali halisi lkn hata kama akikosa still kwangu bado ni mshindi.Alafu hata mwaka jana wasanii wanaija ktk list ya wasanii bora wiz alishika ya kwanza, namba moja alishika CEO WA YBNL olamide 2.wiz 3. Davido 4.kiss daniel 5.techo (ref millard ayo) na msanii bora naija mpaka hivi sasa ni OLAMIDE

Back
Top Bottom