juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya cha bongofreva nadhani utaelewa, ila kama si mfuatiliaji basi kaa mbali maana hapa itakuwa ni lugha gongana
Kuna wasanii kibao hapa bongo na wana mameneja japo si wote wana mameneja. Ila cha kushangaza ni wawili tu ndio wanafahamika na wanajikombakomba sana kwenye media .Yaani wanapenda umaarufu sana hawa watu. Nao ni meneja wa WCB(babu tale) na meneja wa TMK na YAMOTO BAND(Saidi fela). Mbona mameneja wengine duniani kote wanakuwa bize na shughuri zao sasa vipi hawa wanajikombakomba sana kana kwamba wapo wao tu?