johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,165
- 164,640
Sanaa ni biashara ipaswayo kulipiwa kodi kisheria lakini kwa muda mrefu imekuwa treated kama srctor isiyo rasmi.Kuanzia July this year wajiandae kucomply na matakwa ya kisheria kwani sasa ni sector rasmi.Hivyo nawatia moyo wasanii waanze kuendesha biashara ya sanaa kiutaalamu.