Nuh Mziwanda ajichora tatooo ya mpenzi wake mpya, adai huyu wa sasa amekuja kwa gia kubwa

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,256
16,316

Nuh Mziwanda Baada ya Kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la Kujichora Tatoo Mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya..

Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa sana kiasa anaamini anampenda kwa dhati, amempa sifa kuwa ni mwanamke anayependa marafiki zake sana tofauti alivyokuwa shilole...
 

Attachments

  • shilole na mziwanda.jpg
    shilole na mziwanda.jpg
    9.4 KB · Views: 190
Bro code Article 25.
A bro doesn't let another bro get a tattoo particularly a tattoo of a girl's name.

kwasababu uhusiano wa mtu na ngozi yake ni wa milele. naona huyu dogo anapenda kupitiliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom