ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Tarehe 28/6 mwaka huu zinaenda kutolewa tuzo za BET ambazo Bongo tunawakilishwa na Diamond platnumz! Na hichi ndicho kinacho tufanya Tuzifuatilie sana Hizi Tuzo! Millard Ayo yupo Naye kutuhabarisha kila kinacho endelea huko!
Wengi wamekuwa wakisema Mpinzani mkubwa wa Diamond Platnumz katika tuzo hizi za BET ni Wizkid! Wamefika mbali na kusema kuwa Diamond hata weza kutwaa tuzo hiyo ya Best African Act kwa sababu ya wizkid! Lakini nimekuwa nikijiukiza maswali kadhaa katika hili
1.Kwanini Wizkid Hajawahi Post chochote kinacho husu BET katika mtandao wowote ule wa Kijamii hata kujiombea Kura tuuu zaidi ya Wabongo wenye Shobo kwa wizkid kumuombea kura?
2.Wasanii wote ambao wapo nominated katika kipengele hicho kwa sasa wapo USA wakijiandaa na hizo tuzo lakini Wizkid peke Yake hayupo na sijamuona kabisaaa hii inamaanisha nini! Je kakubali kushindwa au kajitoa kiainaa! Tumemuona Diamond, AKA,tumemuona Cassy,Yemi Alade na wengine Kasoro yeye tuuu! Je kuna nini hapo?
3.Vituo mbali mbali vyenye uhusiano na BET vimekuwa vikiwahoji wasanii wa africa ambao wako nominated! Je kutomwona kwao Wizkid katika tuzo hizi kubwaaa kabisa duniani wanaelewa nini? Watafikiria nini?
Ni maswali ambayo najiuluza sanaaa na ningeomba wale wabongo wanaomchukia Diamond au wanao msupport Wizkid wajiulize haya maswali! Kabla tuzo hazijatolewa
Nawasilisha!