Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,455
Kupitia kipindi cha #FNL kinachorushwa na EATV siku ya Ijumaa, msanii Diamond Platinumz aliahidi kuna tukio kubwa atafanya siku ya J'tatu. Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mchango wa madawati 600.
Kama mtanzania mzalendo, tupia neno moja la pongezi kwake
Kama mtanzania mzalendo, tupia neno moja la pongezi kwake
