kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,676
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba Wema yameendelea kuzunguka.
According to anayesemekana ni baba kijacho, amesema wanategemea Wema ajifungue baada ya miezi sita au saba, ambapo kwa maana hiyo Muda huu ana mimba ya miezi mitatu.
Mimba ya miezi mitatu ni mimba iliyoingia mwezi wa kumi na moja (November) ama mwezi wa kumi (October) , ambapo wakati huo Wema Sepetu alikua katika mapenzi na x boyfriend wake Luis Munana.....
Kama alipata mimba mwezi huu Kuna uwezekano ni ya Luis
Maswali yanayogonga kwa watu ni;
1. Je, wakati Wema yupo na Luis alikua anagongwa na Idris??
2. Kama sio, Ina maana aliyempachika mimba ni Luis?
3. Ni nani aliyempachika mimba Wema Sepetu?