Wadau kama nlivotanabaisha mwanzo kuwa Jide ili atambe lazima amponde Gardner. Sasa ana wiki ya 2 ametoa nyimbo inaitwa kama wao lakini cha ajabu yaweza pita masaa 72 bila kuisikia.
Hata E fm...
Well done malecela jr aka le mutuz aka mutu ya watu aka mutu ya juu kabisa. Huyu jamaa anajua kucheza na akili za biashara.
How? Jamaa nyie mnavyozidi kulopoka mitandaoni basi yeye he is...
Jacqueline Ntuyabaliwe-Mengi is a former Miss Tanzania. She started off her career as a singer, later won the Miss Tanzania beauty contest and subsequently represented her country at the Miss...
Watu wengi tunafahamu kuhusu msanii Chidi Benz alivyoathirika na madawa. Ninachokiomba kwa Babu Tale amsaidie Chidi peke yake bila kumhusisha na WCB.
Kwani kuna uwezekano mkubwa wa label hiyo...
Daah goma limesimama hatari chid benz karudi vyema sama aisee...dude linaitwa "Chuma" take ur time to listen hilo kitu utakubali....
bravo chid ila usivimbe kichwa na vishoo utakavyo anza kupiga...
Licha ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuibuka na kukanusha sakata lao la kurudiana, bado madai ya wawili hao...
Nakereka sana napoona vijana wengi wadogo wanapotea baada ya kujiingiza kwenye maswala ya muziki, kuigiza, mashindano ya miss sehemu flani, miss tanzania, michezo ya mpira, netball na dancing...
Wanajamvi, tumeweza kushuhudia hivi sasa ushindani mkali katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, wasanii wengi wakijitahidi kufanya kila liwezekanalo, ili mradi aweze kusikika au kukubalika, wapo...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘pale kati patamu’ ulioimbwa na msanii Ney wa Mitego kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya...
Moja ya vichwa navyo vielewaga kwenye game ya bongo sitomwacha kumtaja msanii na mtunzi Barnaba anajielewa sana ni ngumu kumkuta anapost ujinga au kuongea kwenye media kitu kitakacho wakwaza...
Lile timbwili la madale bado linaendelea kuwaka moto , hivi karibuni mzazi mwenzie na diamond, zari amepost picha akiwa na mama yake mzazi huku akimwagia sifa kem kem kuwa mama yake huyo ana...
Wana JF,
Leo nawaletea mwandishi wa habari wa Tanzania ambaye anajua mambo mengi sana iwe kwenye nyanja ya afya,uchumi,siasa,biashara na hata kijamii pia
Jina lake kamili ni Kibwana Mustapha...
Sasa dull wa planet bongo eatv kwa sasa atakuwa anawapa tabu team nzima ya xxl kutokana uwezo wake na ubunifu alionao huyu kijana na kujituma.
katika radio zilizokuwa zinasikilizwa sana mchana ni...
Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na...
Ni muda mrefu nimemkosa Comrade R. Masako katika kipindi cha KIPIMA JOTO cha kila Ijumaa baada ya taarifa ya habari. Ndugu Masako ni Mratibu muhimu wa kipindi hiki kutokana na kukiongoza vizuri na...
Msanii Bongo Fleva Emmanuel Elibariki "Ney wa Mitego" ahojiwa na Polisi, Kamanda Kanda Maalum Dar Simon Sirro athibitisha leo bila maelezo zaidi.
Ney wa Mtego ahojiwa polisi
Msanii wa muziki wa...