aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,650
- 3,662
Wadau kama nlivotanabaisha mwanzo kuwa Jide ili atambe lazima amponde Gardner. Sasa ana wiki ya 2 ametoa nyimbo inaitwa kama wao lakini cha ajabu yaweza pita masaa 72 bila kuisikia.
Hata E fm hawaipigi hata EA radio. Shoo yake ya Moshi na Arusha zilidoda mpaka akaona aibu kupost picha za matukio kwa wingi zaidi tuliishia kuona za matayarisho na akiwa stejini lakini mbwembwe za ukumbi kujaa hapana.
Huyu dada ameisha, sasa atulie tu