Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Amina Ngaluma Badi Bakule Jogoo la mujini!
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Hatua aliyofikia msanii Darasa imenikumbusha miaka kama 6 iliyopita wakati msanii 20% alipofikia kiwango chake cha juu mno kimuziki,pamoja na kuwa 20 pa alikuwa na nyimbo nzuri kama maisha ya...
3 Reactions
14 Replies
7K Views
Naomba kujua wanajf kwa wafatiliaji wanafahamu kuwa darasa ni mmiliki wa rekodi lebo iitwayo CMG yan Classic Music Group na kwa wakati huohuo cloudsmedia wanafahamika km CMG yaan Clouds Media...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
WCB chini ya CEO wake anaejua mziki na kutafuta pesa ni hatari chafu kabisa,hii ya jangwani beach party ni zaidi ya fiesta...naamini atakonga nyoyo za mashabiki wake.wasanii wengine wajifunze kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa ommy hapigi mechi na pia hawamjui shemeji Ommy dimpoz ameamua kuweka picha ya shem wetu wakiwa pamoja Hata hivyo picha hiyo...
1 Reactions
144 Replies
23K Views
Wanasema ukipenda ua penda na boga lake.... Mkali wetu ana maboga ya kutosha...
0 Reactions
68 Replies
21K Views
Jamaa na nyimbo mbili za gospel nizijuazo mm ila zote kali hasa hii ya juzi la Christmas nahisi mkali gudluck Gosbert ajikaze sana na akaze mkanda Walter hajawahi kukosea ni bahati tu hana....
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Kuhusu Ommy Dimpoz,Alikiba na Mr Nice,yamezungumzwa haya na Meneja wa Diamond. Times Fm imepata nafasi ya kufanya Exclusive interview na Sallam ambaye ni moja kati ya Mameneja wa Diamond...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Shilole amesema Baba Levo anamchukulia kama mwanamke mwenzake kwani anaweza akalala naye kitanda kimoja asimfanye kitu.
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa. Sasa Belle 9 ni kama...
6 Reactions
109 Replies
22K Views
Baada ya vuta nkuvute za hapa na pale about ishu ya young D kumkana mwanae.....the man aliomba radhi na kuelezea kilichotokea...Well kaamua rasmi kuprove kwamba amempokea mwanae na yuko nae poa...
7 Reactions
57 Replies
11K Views
Huyu ni mke wa zamani wa mfalme wa R n B, Robert Kelly aka R. Kelly. Ni mdada mwenye umri si chini ya miaka 40 lakini she can give young ladies a run for their money when it comes to twerking...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mtaarishaji wa muziki man water (walter?) amesema anamrudisha msanii 20% kwenye muziki na alikuwa amekwamwa kutokana na wao wawili kukumbwa na matatizo ya kifamilia, lakini wana nyimbo ambazo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Msanii WA kizazi kipya maluufu kama belle9 ameachia wimbo wake mpya alioupatia jina give it to me.. .pongezi Kwakweli video IPO pouwa.. .
4 Reactions
9 Replies
1K Views
siku kadhaa zimepita tangu zisambae picha ya vanesa na treysong kuonekana wapo chumbani vanesa kamlalia treysong kimahaba kitandani nachojiuliza ni kiki au ni kweli treysong kapita nae vanesa...
8 Reactions
108 Replies
21K Views
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni...
16 Reactions
54 Replies
6K Views
Hivi karibuni wakati anahojiwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond alitease ujio wa ngoma ambazo amewashikirisha wanamuziki heavyweight wa Marekani, Rick Ross na Rihanna. Jumatano hii...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa...
5 Reactions
56 Replies
8K Views
Leo nimebahatika sikiliza wimbo mpya wa msanii mkongwe Mike T Clouds FM, unaitwa umenikutaga, hakika jamaa karudi vizuri Sana na wimbo wake utasumbua Sana. Nikiwa Kama shabiki wazamani wa nguli...
1 Reactions
54 Replies
9K Views
Shilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata, Mmoja wa serengeti boy anadai shilole alimkomaia...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…