Picha: Maboga ya Diamond Platnumz...

Picha: Maboga ya Diamond Platnumz...

Bukanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
2,857
Reaction score
1,938
Wanasema ukipenda ua penda na boga lake....

Mkali wetu ana maboga ya kutosha...

attachment.php
 

Attachments

  • maboga.jpg
    maboga.jpg
    35 KB · Views: 9,133
Na watoto wanamkubali acha kabisa, huyu mtoto account haina picha ya dingi ake ina picha za diamond kweli baba wa kambo ni baba
Screenshot_2015-12-21-16-53-34.png
 
Na uzuri hayo "maboga" yanayo mtunzaji wake tena anajiweza sana tu.
 
Wahenga walisema ukipenda boga penda na ua lake. Hawakusema penda na maua yake! Nadhani mumenipata!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom