Kuhusu Ommy Dimpoz, Alikiba na Mr Nice, yamezungumzwa haya na Meneja wa Diamond

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,010
2,000
Kuhusu Ommy Dimpoz,Alikiba na Mr Nice,yamezungumzwa haya na Meneja wa Diamond.
Times Fm imepata nafasi ya kufanya Exclusive interview na Sallam ambaye ni moja kati ya Mameneja wa Diamond Platnumz,yapo maswali yaliyohusu maisha yake,kazi yake ya kwanza na namna walivyokutana na Diamond mpaka kufanya kazi pamoja,hizi ni tweets za yote aliyoyazungumza.

‘Nimezaliwa 1980 Ocean Road Dar,Nimekulia Morogoro na kusomea huko,nilizuiliwa Forest kwa sababu ya Ukorofi so nimeishia form 4. [HASHTAG]#SallamLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kuna kundi letu lilikua watukutu tulianzisha 1993,kati ya wasanii tuliokua tunahang nao ni pamoja na O-ten,AY alikua shabiki wangu’.[HASHTAG]#Sallam[/HASHTAG]

‘Nilikua narap kwa fan sio kazi,nilipomaliza shule nikaingia kwenye biashara,album yangu ya kwanza nilinunua CD ya Saleh Jabri [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Tarehe 24 nitapambana na @diamondplatnumz kwenye jukwaa maana anajisifia sana anajua kurap’. – @Sallam_SK @raheemdaprince SkyTanzania

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘AY ndiye aliyenirudisha kwenye entertainment kwa sababu ya AY ana connection na wasanii wengi,tulianza na kina Prezoo na Huddah’.[HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Nilipata deal la kumleta @iam_Davido iyanya na J Martin,Diamond nilikutana nae 2012,Diamond ilikua afanye kazi na Mr Nice’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Mr Nice namjua siku nyingi,kipindi hicho alikua anaitwa B nice alikua ana rap na tumefahamiana nae wote tukiwa Morogoro’.- [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Nina album nzima ya Mr Nice ninayo ndani,muda wowote akiwa tayari tunaweza kuiachia tu,siwezi kuachia bila idhini yake’. – SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Msanii nilimuongoza kabisa ni Mr Nice nilifanya nae kwa miezi 6 tu’ – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kama hauko upande wangu lazima unichukie,mimi hata kitu sio kizuri nitalazimisha kiwe kizuri’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘2013 @diamondplatnumz aliniambia tufanye number one rmx na ndiyo safari yetu ilianzia hapo na ndiyo ilikua kazi yangu ya kwanza’. –#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Ukiingia kwenye suala la muziki hapa Tanzania lazima ukutane na Fella pamoja na Tale’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG].

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Sekta yangu mwanzo WCB ilikua ni ya kupanda ndege,kidogo Mungu alinisaidia kilugha nakijua,kimesababisha nipande sana ndege’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Naongea lugha tatu kiswedish,Kiswahili na Kiingereza na Kiarabu nakijua jua’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG] cc @Sallam_SK @raheemdaprince SkyTanzania

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Najiita Mugabe kwa sababu maamuzi yake yamenyooka,hayapindi; – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Tuliwahi kuzinguana na @diamondplatnumz tukiwa Paris tukijiandaa kufanya Kolabo na Hayati Papa Wemba’ – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Target yetu ni kukuza soko la muziki la ndani liwe kubwa zaidi Afrika,inabidi tupromote wasanii wote wafike mbele’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘WCB nina share zangu kwenye bodi ya Wakurugenzi’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kolabo za kimataifa za @diamondplatnumz nazifahamu kwa sababu nyingi zinapitia kwangu,local huwa anazimaliza yeye mwenyewe’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Wimbo wa @QueenDarleen_tz haikua mipango kuitoa jana na tuliitoa kama zawadi kwa mashabiki wa WCB’. –#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kuna wasanii nje ya Tanzania tunataka kuwaongoza kama SK Entertainment sio WCB,hatuwezi kuweka kila kitu WCB,tutakua tunajifunga’.-#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘@RichMavoko alipitia kwa @AyTanzania na mimi ndiye nikasema atafanikiwa akiwa chini ya WCB,tulimpa muda afikirie kabla ya kusaini [HASHTAG]#Sklive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kwangu sioni utofauti wa wasanii wa WCB kwa sababu kila mmoja ana vionjo vyake’. – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kokoro ilianzia kwa Abydad sisi tunaangalia manufaa ya msanii na kibiashara zaidi pamoja na mafanikio’ – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Mi sio meneja wa Diamond peke yake,namuongoza AY pia sio kila muda nionekane mtu wa WCB kuna muda inabidi nionekane wa SK Entertainment

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Niliona mapato ya @OfficialAliKiba yanapotea Kenya,nilimwambia Tale ampgie @SevenMosha na nikawatajia hadi jina la mtu anayewaibia’#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Nilimpost @SevenMosha kwa sababu nilimaanisha ni Mrembo,mimi niko single lakini nina Familia’. –#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Show ya Mombasa bajeti yangu ilikua kwenye hesabu ya @wizkidayo nilienda kupiga stori na rafiki yangu Sunday ambaye ni meneja wa @wizkidayo

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kila mtu aangalie maisha yake kati ya @ommydimpoz na @diamondplatnumz so watafutane wenyewe waombane msamaha’. – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Napokutana na @ommydimpoz @AyTanzania na @MwanaFA tunaongelea kitu kinachokuwepo hapo mezani,tunakua hatuna muda wa kudiscus watu, [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Ijumaa hii team nzima ya WCB tutakua tunauza tiketi za VIP pale Mliman City zikiisha hizo hatuna zingine,tiketi mlangoni hakuna’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Moja kati ya wasanii watakaoperfoam tar 24 ni pamoja na @iam_kcee tunamalizia taratibu za mwisho za usafiri kila kitu tayari’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kwenye maamuzi ya WCB @ZariTheBosslady hana maamuzi tukija kutambulishwa kama Mkurugenzi mwenzetu pia sawa,kukwazana hatujawahi [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Marekani siendi kwa sababu nina matatizo yangu binafsi toka miaka ya nyuma lakini 2017 mtaniona sana’. – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Siku namjua @diamondplatnumz kwa mara ya kwanza 2012 alikuja na @ommydimpoz ndiyo maana vitu vyao naona havinihusu’. –#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Tulitaka kufanya kitu kama mechi kati ya team @OfficialAliKiba na team @OfficialAliKiba watu wacheze mpira halafu usiku tufanye show#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Show ambazo @diamondplatnumz kalipwa hela nyingi ni show ya @Tigo_TZ na show zote za Kenya. – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘@diamondplatnumz anapenda sana kununua nyumba,Nadhan hapa DAR ana nyumba 7 na ile ya South Africa ni ya 8′. – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Team hazituumizi zaidi ya kutuongezea hela,mnapotujazia comment ndipo ubalozi unapokuja na hela ndio zinazongezeka’. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘DSM Stand Up ya Chid Benz ndio wimbo wangu bora muda wote,@darassa_cmg anafanya vizuri sana naomba watu wamuongezee sapoti’ –#SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Ikitokea nataka kumsaini msanii wa hip hop kwenye muziki nitamsaini @FidQ ,sasa hivi kidogo kapunguza ugumu,tunaweza kufanya kazi’. -SkLive

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘@Barnabaclassic namkubali sana huyu ni FUNDI’ – [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘Kuna Online Radio tumefungua inaitwa @DizzimOnline nipo na @BabuTale ,tuna website,studio,mtu akifika akionyesha CV zake anaweza kuajiriwa’

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016

‘WCB kwa sasa ina wasanii 4 na Diamond wa 5 ila kuna kijana yuko pale anaitwa LavaLava anapiga back vocal kwa @diamondplatnumz ‘. [HASHTAG]#SkLive[/HASHTAG]

— DizzimOnline (@DizzimOnline) December 21, 2016
 
Iceman 3D

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
20,629
2,000
Asee wangeweka mechi ya team diamond vs team kiba.
Ingekuwa poa kishenz yaan.
Wafanye huo mpango wapige pesa
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,750
2,000
"Niliona mapato ya Ali Kiba yanapotea Kenya, nilimwambia Tale ampigie Seven Mosha na nikamtajia hadi jina la mtu anayewaibia."
- Sallam Mendez

Sisi ni Wasafi sio kwenye mziki tu bali mpaka rohoni.

Cc: Nifah
"Kama hauko upande wangu lazima unichukie,mimi hata kitu sio kizuri nitalazimisha kionekane kizuri"

Namuona Sallam ndani yako,sio kwa kusifia kile kimeo cha jana.

No comment, ukifanya kitu sio lazima useme,acha mtendewa ndio aseme kama ikimpendeza.
Hata asiposema haitobadili ukweli kuwa ulimsaidia.
Period
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,750
2,000
Sallam kutafuta kick kwa Seven vepeeee?
Yani mmeona kick zote hata ya Simba Jr imebuma mnataka kuipata kwa Le Super manager?
Heheeeeee yule Mdada na Sallam wapi na wapi?
Anapoteza muda tu.
 
Habibu B. Anga

Verified Member
May 7, 2013
6,656

Yani umeona hapo tu??

Ila haibadili ukweli sisi ni Wasafi mpaka rohoni..
 
Habibu B. Anga

Verified Member
May 7, 2013
6,656
2,000
Sallam kutafuta kick kwa Seven vepeeee?
Yani mmeona kick zote hata ya Simba Jr imebuma mnataka kuipata kwa Le Super manager?
Heheeeeee yule Mdada na Sallam wapi na wapi?
Anapoteza muda tu.
Kwani dhambi jamani! Kama amemuelewa kwanini asimchombeze chombeze??

Manager wenu mwenyewe mbona ni washkaji tu ndio wanapiga.. Sio wa kumuogopa saaaaana!! Acha Mendez ajaribu bahati yake..
 
david steve

JF-Expert Member
May 17, 2015
842
1,000
Mechi hyo hatari ipigwe pale WCB waisome namba kiba na abdu kiba ni mafundi sana wa mpira tena mtu wa mguu wa kushoto noma,mondi sizani hata kama anajua mpira unapigwaje
 
Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,010
2,000
Sallam kutafuta kick kwa Seven vepeeee?
Yani mmeona kick zote hata ya Simba Jr imebuma mnataka kuipata kwa Le Super manager?
Heheeeeee yule Mdada na Sallam wapi na wapi?
Anapoteza muda tu.
Le Super Manager? Ana kipi cha kumfanya awe super manager?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom