MGANGA WA DIAMOND AJITOKEZA
by Teen Newz
1 hour ago
Ustadhi Yahya Michael, mkazi wa
Dar, hivi karibuni amejitokeza na
kudai kuwa yeye ndiye mganga
aliyempaisha mwanamuziki Nasibu
Abdu...
Hivi nani anastahili kuitwa mlevi hapa?
Ikiwa mtu anakunywa bia moja au mbili na kutembea huku anayumba yumba na kuongea mambo ya ajabu ajabu au kufanya mambo ya ajabu
Na mtu ambaye ana uwezo...
Kwa Taarifa zilizo nifikia tokea Iringa Samoraa ni kuwa Kwa Sasa uwanjaa ni Umejaaa hamna hata Sehemu ya kukanyagaaa! Huenda show Ikaahirishwa Kutokana na Wingi wa Watu! Kinacho Endelea ni Polisi...
Msanii Ney wa Mitego amefunguka mambo mbalimbali kuhusu muziki wake
Ikiwa ni pamoja na bifu lake na Mr T, Gigi Money, ishu ya kumbaka Nisha na Kolabo
Pia amezungumzia soko la muziki lilivyo...
Ni Dec 23, 2016 ambapo mkali Diamond Platnumz pamoja na Team yake nzima ya WCB walifika Mlimani City Mall kuziuza tiketi kwaajili ya show yao iitwayo Wasafi Beach Party itakayofanyika Dec 24...
Wakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo na kukimbilia wanaume wenye pesa hali ni tofauti kwa mwanamama zari hassan (the boss lady ) ambaye amekiri wazi kuwa kitu anachopenda...
Rapa Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu...
Hakika naomba niweke ninaloliona juu ya Darasa. Mziki wake unampenda kuliko yeye anavyoupenda mziki.
Sioni akiupa promo ya kutosha mziki huu ulikonga nyimbo za watanzania na wapenda burudani...
Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown hatokuja kumsahau kamwe. Sijui alimpa lini lakini tunachofahamu ni kuwa pamoja na kuachana, bado hitmaker huyo wa Party amekuwa akifuatilia kila...
hili nyomi halijawahi kutokea hii ndo show kubwa ya funga mwaka
Diamond si mtu mzr kbsa bado anaendelea kuwajambisha majirani
======
Usiku wa Disemba 25, 2016 wakali wa Mziki wa Bongo Fleva...
Kwa mujibu wa shabiki nguli wa alikiba ,jana aligoma kufanya show dodoma katika clab ya perugina baada ya kutomaliziwa malipo yake.
Jana kulikuwa na show ya ally kiba dodoma perugina club kwa...
Baada ya kuondoka ITV na Radio alienda Redio Dutch Welle. Huko nako amekuwa kimya sana. Maryland na maeneo jirani hatumuoni tena, sijui yuko wapi siku hizi. Mwenye info atujuze.
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu...
MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Afrika, Julitha Kabete ameondoka leo kuelekea nchini Nigeria katika fainali ya michuano hiyo inayofanyika Novemba 26 mwaka huu huku akiwaahidi...
habari waungwana,nasikia mtangazaji mkongwe katika bongo yetu Julius Nyaisanga maarufu kama anko j ameacha kazi radio one na ITV na nimefuatilia vipindi vyake kuanzia mambo mseto na radio one...
mitaani wanasema maneno tofauti. Mara ya mwisho nasikia msanii dimond anaumwa ila sijasikia kazidiwa au anapumua vibaya. tupeni maendeleo yake coz watu washaanza kulia. Mia