Nani mlevi hapa?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,454
25,371
Hivi nani anastahili kuitwa mlevi hapa?

Ikiwa mtu anakunywa bia moja au mbili na kutembea huku anayumba yumba na kuongea mambo ya ajabu ajabu au kufanya mambo ya ajabu


Na mtu ambaye ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya 10 na hafanyi mambo ya ajabu wala hayumbi yumbi njiani wala kuongea vitu vya ajabu
 
Pombe ina kilevi, hivyo yeyote anaekunywa ni mlevi. Utakuwa umeelewa jibu mpaka hapo.
 
Mbona unakuwa mbeya mbeya, au kwavile umekosa hela za bia. RIP John Woka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom