King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

Jhaxan

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
403
191
Hapa nilipo show imepamba moto yaani full live band ,full viuno yaani 'No janja janja' katika ukumbi wa kimataifa wa perugina club .....[HASHTAG]#Yooooo[/HASHTAG]
48719acd3eaffa66b9d7e505c39df7be.jpg
FB_IMG_1482697746134.jpg
 
Naskia huko hakutoshi watu wengi sana eti wanalaum kwakuwa ukumbi umeshindwa kuwabeba.. kweli kiba n king kweli
 
Mashemeji zangu watoto wa kariakoo mnatia huruma! Najiskia niwachane ili mnuneeee

Naona hizi shoo za mwisho wa mwaka tumewashikisha adabu

Sisi ndio WCB we get it custom, nyinyi watoto wa kariakoo you are just customers..
Kasi tunayokuja nayo sasa nawashauri mjenge fensi pale kariakoo! Ila msisahau WCB we digging tunnels.. You will be surprised when we get the money right up under you..

# WCB # WinnersCycle
 
SAA zingine acha kunywa juices za Ukwaju jaribu za embe
Kama Umemwona Jamaa Yangu Hapa.

- Anapenda Juisi Za Ukwaju Sana Zinatengenezwa Na Wapemba Hapa Mtaani , Ila Zikipoa Zinakuwa Mbaya Balaa
 
Back
Top Bottom