Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii Ney wa Mitego amefunguka mambo mbalimbali kuhusu muziki wake
Ikiwa ni pamoja na bifu lake na Mr T, Gigi Money, ishu ya kumbaka Nisha na Kolabo
Pia amezungumzia soko la muziki lilivyo sasa hivi na akilinganisha na mwaka jana anadai show zimekuwa chache mno na hata wanaofanya show wanalipwa kidogo sana kwa kuwa mapromota wanadai haziwalipi
Amesema hali inatarajia kuwa mbaya zaidi mbele kwa kuwa hela zinabanwa ila amedai hategemei show kwa kuwa ameshawekeza