GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 649
Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown hatokuja kumsahau kamwe. Sijui alimpa lini lakini tunachofahamu ni kuwa pamoja na kuachana, bado hitmaker huyo wa Party amekuwa akifuatilia kila nyendo za mrembo hiyo ikiwemo kuwamind wanaume wanaommendea.
Mrembo huyo ambaye baada ya kuachana na Chris Brown anaonekana kuwa bado yupo single, amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuweka caption rahisi ‘Baby.’
Kwenye picha hiyo, mrembo huyo anaonekana amevaa t-shirt nyeusi yenye picha za muimbaji wa UK, Sade na pia akiwa amevaa nguo ya ndani pekee yenye rangi nyekundu.
Macho ya Breezy yalivutiwa na alichokiona na kujikuta akicomment: Still want it.”