ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,664
Kwa Taarifa zilizo nifikia tokea Iringa Samoraa ni kuwa Kwa Sasa uwanjaa ni Umejaaa hamna hata Sehemu ya kukanyagaaa! Huenda show Ikaahirishwa Kutokana na Wingi wa Watu! Kinacho Endelea ni Polisi kuongezwa kwa ajiri ya usalamaa na watu wanazidi kuingiaaaa!!! Watu wanahoji hapa na pale ni kuwa Diamond ana nini...huenda hii show kesho tukasikia Mengine! Nitaendelea kuwajuza kinacho endelea
Hii ilikuwa Sound check sio kwamba Show imeanza
Hii ilikuwa Sound check sio kwamba Show imeanza