Vodacom wasafi festival yaandika historia mpya mjini Iringa

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
583
500
hili nyomi halijawahi kutokea hii ndo show kubwa ya funga mwaka

Diamond si mtu mzr kbsa bado anaendelea kuwajambisha majirani
1482698554207.jpg

======

Usiku wa Disemba 25, 2016 wakali wa Mziki wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB Wasafi walifanya Show iliyoweka Historia katika mji wa Iringa.

Show hiyo iliyotambulika kama Vodacom Wasafi Festival ilifanyika katika Uwanja wa Samora mjini Humo na kuhudhuliwa na mashabiki lukuki kutoka viunga mbalimbaliu vya Mji wa Iringa.

Diamond platnumz ndiye aliongoza jahazi hilo huku Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy Msafi na Richi Mavoko wakishambulia Jukwaa hilo bila kusahau wasanii waalikwa ambaye alikuwa Chege Chigunda na KCEE kutoka Nigeria wakitoa burudani ya Nguvu kwa wakazi hao wa mji wa Iringa.

Hizi ni baadhi ya Picha kutoka mahali palipofanyika Tamasha Hilo.


Chanzo: Lindi yetu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom