brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Kwa mujibu wa shabiki nguli wa alikiba ,jana aligoma kufanya show dodoma katika clab ya perugina baada ya kutomaliziwa malipo yake.
Jana kulikuwa na show ya ally kiba dodoma perugina club kwa kiingilio cha 25000, watu wakaanza kujivuta japo si kwa wengi ila wale mashabiki wa ally kiba wakaja, basi subira ikaanza huku watu wakijua atapanda jukwaani saa 6 usiku bila mafanikio vurugu zikaanza kwa mashabiki kumdai ally kiba mpaka saa 7:40 walioko nje wakagoma kuingia ndani na walioko ndani wanataka kurudishiwa pesa,
Manager wa ally kiba aluvopigiwa akadai ally anataka kumaliziwa pesa yake ndio aje wakaja wakachukua pesa yao wakaondoka huku vurugu zikaanza saa 9 ally kiba akatokea na kundi la mamanager wake akagoma kupiga show kisa watu ni wa dogo pili amefika dodoma saa 7 usiku hakuwa na taarifa ya show mapema. Ndipo watu wakahamaki wakitaka kutoa kichapo mabaunsa wakampeleka hotelini
Baada ya hapo tumeenda kufanya kikao hotelini timekubaliana show apige tarehe 28 maana pesa walishalipwa
Nakubali isingeweza kurudi but ally kiba angefanya show yake akasepa kuliko kuzingua Saa 7ameingia dodoma akitokea dar !!
Je kafanya poa au kazingua? ???