Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Afande Sele amedai kuwa Daz Baba havuti unga kama watu wengi wanavyodhani bali amekuwa akinywa pombe bila kuzingatia kula hali inayomfanya akonde Akiongea na Bongo5, Afande amesema huu ni...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyouliza;Je inawezekana mtoto mzuri wa kichaga ambaye anapelekeshwa Puta na kilevi aina ya 'Whiskey' akawa amefikwa 'Hapaaa!' Na penzi tamu la mtoto wa Kimakonde?
0 Reactions
111 Replies
22K Views
kwa kile ambacho akikutarajiwa kwa mkongwe wa hip hop nchini niga j kumjibu kala pina kwa lugha ya mafumbo na kejeli kubwa. inasemekana nguli huyo wa bongo fleva amemtolea kala pina maneno ya...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Tatizo la baadhi ya wasani kufikia kwenye kiwango hiki ni matokeo ya kukata tamaa kwa kudorora shugli zao za sanaa, bila kukumbuka kuwa mbali na Sanaa kuna kazi nyingine wanaweza kufanya na...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mfalme wa Rhymes 2004, Suleiman Msindi ‘Afande Sele’ amemwangushia bonge la pati, mshindi wa tuzo tano za za Grammy aaah sorry za Kili Music 2010/11, Abbas Hamis Kinzasa ‘20%’ au ‘Kombinenga’...
0 Reactions
42 Replies
15K Views
Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kuweka wazi kuwa katika wanamuziki wakubwa Tanzania na wazuri kimuziki kwake Ali Kiba ni namba moja na akamtofautisha na Diamond ambaye amemtaja kuwa ni msanii...
5 Reactions
54 Replies
16K Views
  • Closed
Usiku wa kuamkia leo, wale team shilawadu hawajalala kwa kufuatilia mpambano kati ya bi dada shujaa Mange Kimambi na x husband wake dume suruari model Frank Gonga , ambao waliwafaidisha wanajamii...
3 Reactions
192 Replies
58K Views
Rapa Kalapina ambaye ni mwanaharakati wa kuwasaidia watu ambao wameingia kwenye matumzi ya dawa za kulevya amefunguka na kusema kuwa mama yake mzazi Chid Benz kama mtu anayemuendekeza Chid na...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Naona kama kachemsha hivi kwa hii au nyie wadau mnasemaji mnaielewa au hamuielewe kama nisivyoielewa
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Msanii wa bongo fleva Darasa ameweka wazi ule mstari wake wa "sio simba, sio chui, sio mamba" kwa kusema Diamond hakupaswa kujiita simba kwani simba ni mnyama ambaye anaweza kuuliwa anapozidiwa...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Msanii Darassa amefunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake ambapo kuna mashairi yanayosema 'sio simba sio chui sio mamba' na kudai mashairi hayo hayamuhusu Diamond ila watu wameelewa...
4 Reactions
28 Replies
11K Views
Hongera Jide kwa kufanya kile moyo unapenda.
8 Reactions
233 Replies
37K Views
Unakumbuka hit single ya starehe? Ni nyimbo ya feruz aliomshirikisha proj jay , ni nyimbo iliyoelezea mafunzo mengi kwa vijana kuhusu starehe na maambukizi ya ukimwi Feruz leo hii afya yake...
4 Reactions
91 Replies
22K Views
Young anapotea na kipaji chake
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ama kweli mchumia juani hulia kivulini, tucwe wepesi kujaji mafanikio ya mtu bila kujua aliyopitia, tazama picha hizi ujifunze kitui
5 Reactions
108 Replies
71K Views
Japo ni tuzo za Tz ilikuwa haina baja ya kusemea hili maana tulilitegemea lakini ukweli lazima uwekwe wazi. Lady Jay De hakustahili kuchukua tuzo aliyochukua jana labda jana ilikuwa ni kwa ajili...
12 Reactions
133 Replies
12K Views
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa kwa washabiki wake. Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha pete wa kwake.. Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee! Ila hilo shape! Shikamoo mbunge.
6 Reactions
98 Replies
11K Views
Naomba wakati tunakaribisha mwaka mpya 2017 tujadili kidogo hizi tuzo za kimataifa. Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wasanii wetu kuwa nominated kwenye tuzo za nchi za wenzetu katika hii miaka miwili...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Stori: Shakoor Jongo Rapa maarufu Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz' ameibuka na kueleza kwamba alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu lakini sasa ameamua kuacha baada ya...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Aliibuka na kibao "usiulize" kilocho-hit kwa kasi na akajizolea mashabiki wa kutosha nikiwemo na mimi. Pia alimtuhumu msanii Fid q kwa kumuibia mashairi yake na kuyaimba katika kibao kinachoitwa...
0 Reactions
39 Replies
12K Views
Back
Top Bottom