kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Aliibuka na kibao "usiulize" kilocho-hit kwa kasi na akajizolea mashabiki wa kutosha nikiwemo na mimi. Pia alimtuhumu msanii Fid q kwa kumuibia mashairi yake na kuyaimba katika kibao kinachoitwa "Mwanza Mwanza"..
Naomba kufahamu aliko huyu msanii kwani alikuwa na uandishi mzuri na flow safi..
Naomba kufahamu aliko huyu msanii kwani alikuwa na uandishi mzuri na flow safi..