PichaNaona kama kachemsha hivi kwa hii au nyie wadau mnasemaji mnaielewa au hamuielewe kama nisivyoielewa
Toa uzi wako kwanza Ngoma ikikubali ku apload utuitenajitaid ku upload mkuu inanisumbua sijui inaniepusha na copyright infringment ila najitaid itakuja
acha ukorofi mkuuToa uzi wako kwanza Ngoma ikikubali ku apload utuite
Nimeupata jana nikausikiliza, nkaona siwezi tena hata kuusikiliza, nkadeletemm pia nmeona hapa jamaa yangu kachemsha, napenda mziki wake ila sio kwa hii nyimbo aisee
hatali sana, sijui team yao haukuusikiliza kwanza au ndo walisema acha tutest zari, bora hata ile ya ben pol ft mr. eazi japo naina beat na eazi kambeba sana benNimeupata jana nikausikiliza, nkaona siwezi tena hata kuusikiliza, nkadelete
Bos mbona umetuma documentsamahani sana kwa hilo mkuu ila watu walihitaji wausikie si unajua wengine hawapendi mboyoyo hata kama uharo wanataka wausikie pia